mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melkiori Mahinini, Mtanzania aliyekuwa ametekwa nchini Nigeria, aachiwa huru

    Frateri Mtanzania aliyekuwa ametekwa nchini Nigeria, Merikiori Mahinini pamoja na mwenzake raia wa Mali, Padre Paul Sanogo wameachiwa huru usiku wa kuamkia leo Alhamis Agosti 24, 2023, Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk Benson Bana amethibitisha. Mtanzania huyo ambaye pia ni frateri wa...
  2. Ushauri: Mtanzania asitunukiwe master's degree , PhD au Uprofessor mpaka afanyiwe kipimo cha utimamu wa akili

    Hello! Kwa tunayoyaona makazini, mitaani na serikalini itoshe kusema kuwa hizi elimu za juu zaidi kuanzia Master's na kuendelea mara nyingi wanapewa watu wenye uwezo mdogo kichwani lakini wana uwezo wa kukariri masomo. Kuna baba mmoja kazini ana PhD, yaani ni kituko. Kipindi kile akiwa na...
  3. Jaji Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki

    Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki Alhamisi, Agosti 24, 2023 Jaji Omar Othman Makungu wa Mahakama ya Afrika Mashariki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa EAC baada ya hafla ya kuapishwa...
  4. Kuna Mtanzania natamani kujua kama Kiingereza chake cha Kuongea ni Kizuri kama kile anachokisoma kwa Kujiamini na Mikogo kwa Kuandikiwa?

    Ngoja nitafute sasa Video Clips zake nione akiwa na Wazungu (Wenye Lugha yao hii ya Kiingereza) huongea nao kwa Kujiamini na Mikogo aliyonayo kama akiwa anasoma katika Karatasi kwa Kuandikiwa na huenda wanaoijua hiyo Lugha (Kiingereza) zaidi yake. Binafsi nijiweke tu Wazi kuwa sijui Kiingereza...
  5. J

    Mtanzania ahoji Rais Magufuli angekuwa hai Kikwete angesema hayo?

    Mtanzania Omari Hussein amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuacha Rais Samia Suluhu aongoze nchi kwa hekima zake hasa kushughulikia kashfa kubwa inayolikabili taifa kwa sasa ya mkataba wa Bandari na DP World. "Halafu Mstaafu angetulia hayupo kwenye kiti kabisa au anataka Tena ?? hatutaki Escraw...
  6. Nape Nnauye: Hakuna Mtanzania amekamatwa kwa kukosoa Mkataba wa Bandari

    Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba wa uwekezaji wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kama ambavyo imekuwa ikitajwa na mashirika ya Kitaifa na Kimataifa. Kauli hiyo ameitoa...
  7. Mtanzania kutoka Ukraine anaweza kurejeshwa barani Afrika, mahakama inasema

    Majaji wa mahakama ya chini wameamua kwamba baraza la mawaziri linaweza kuamuru mwanamume kutoka Tanzania, aliyefika Uholanzi akiwa na wakimbizi kutoka Ukraini, arejeshwe katika nchi yake. Serikali imewaambia raia wote wa nchi ya tatu waliokuwa wakiishi Ukraine lazima waondoke nchini humo...
  8. Ushauri wangu kuhusu Mtanzania aliyetekwa Nigeria

    Wale jamaa zetu wa kupasua matofali kwa ukogo kwenye sherehe za uhuru, tukio kama hili ni platform pekee ya kuionyesha dunia umwamba wao kwenye special op. Nashauri wakuu ndani ya JWTZ wafanye selection, wachague vijana sita au saba 7 ambao ni the best of the bes ndani ya jeshi, wakibidhiwe...
  9. Mtanzania ndio binadamu pekee bila kumbembeleza hawezi kufanya kazi ipasavyo

    Ndugu zangu mimi ni mtanzania, ila watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana hasa kwenye sekta ya ajira. Watanzania tunaringa, wavivu japo siyo wote ila asilimia kubwa tupo hivyo, nenda kwenye mabank, hosptalini, nida, manispaa, tra kwenye viwanda nakadhalika, aiseeh utachoka. Alafu umkute...
  10. Mbarikiwa Mwakipesile, Mtanzania pekee anayeweza kumkemea bila woga kiongozi yeyote hapa nchini

    Habari! Wengi wanajitahidi kusema ukweli na wengine kukemea viongozi. Lakini karibu wote wanatumia indirect way (kuzunguka zunguka) ila huyu Mbarikiwa Mwakipesile hazunguki anakwenda moja kwa moja.
  11. Ukosefu wa dola na kupanda kwa mafuta kunaenda kuathiri maisha ya Mtanzania

    Hitaji la juu la sarafu ya dola na kushuka kwa hitaji la sarafu ya shilingi inatupa picha ya kushuka kwa thamani ya shilingi,kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania kiuhalisia kunaongeza gharama za uagizaji bidhaa na kwa mtaani kunaongeza gharama za maisha katika mitaa ya Tanzania, kiujumla...
  12. Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

    Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi. Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata...
  13. CCM yaamua kutuma meseji kwa kila Mtanzania kuwakataa wanaopinga mkataba wa kuuzwa kwa bandari zetu

    Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama...
  14. SoC03 Unafiki, uoga, ubinafsi, uongo na malezi yetu

    Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana waongo, wanafiki, wabinafsi na waoga. Maisha yetu kuanzia tukiwa watoto mpaka tunakuwa watu wazima ili uwe...
  15. SoC03 Maadili na uwajibikaji ukokotezwe katika utamaduni wa Mtanzania kustaarabisha mifumo ya kisiasa na kijamii nchini

    UTANGULIZI Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu wa kijamii ambao binafsi siuoni ukikidhi kikamilifu vipengele vya utamaduni huo. Isitoshe una kasoro...
  16. M

    Siasa ni mfumo wa maisha, hakuna namna mtanzania ataacha kujihusisha na siasa.Tuwaache waongee,wakosoe. Uzalendo na maslahi ya taifa yazingatiwe

    Wanabodi Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
  17. Mtanzania kauliza swali, sikia alivyojibiwa!

    Kwa nini wanatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye sheria? Mtanzania kajibiwa; Kwani walipomtuma Kitenge na Zembwela Dubai wale ni wana Sheria? Au walipomtuma Msukuma class seven B aite waandishi wa habari kuelezea Dp wedi,kwani Msukuma ni mwanasheria? Nchi kuna maigizo hata kwa vitu...
  18. Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Sikupaswa kuandika hapa lakini kwasababu umeamua kuniblock huko pm kila nikikuandikia sms haziendi,sasa nimeona nije public ili ufahamu ya kwamba wewe unayejiita GENTAMYCINE nahitaji tukutane tukiwa wawili tu kwa ajili ya kutibitisha mimi na wewe nani...
  19. SoC03 Mtanzania afutiwe Kodi za Ardhi na Majengo

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Kila mara huwa nawaza, ikiwa serikali itatekeleza sheria zake kuhusu malipo ya kodi za ardhi na majengo kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kupiga mnada viwanja/nyumba ambazo hazazijalipiwa, ni Watanzania wangapi watakosa makazi na kwenda kuishi mitaani? Sipati...
  20. Mbeya: Wananchi wajitokeza kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari

    Wananchi wamejitokeza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari iliyofunguliwa na wanasheria Boniface Mwabukusi na mwenzake Philip Mwakilima, wakisema mkataba huo hauna maslahi kwa Taifa na haujashirikisha maoni ya Watanzania ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…