mtazamo

  1. May Day

    Sio lazima kuwa na mtazamo hasi kwa kila kilichofanywa/anzishwa na Hayati Dkt. Magufuli

    Ni kama kumejitokeza bidii ya kujaribu kuipa mitazamo hasi karibu kwa kila jambo au mradi ulioasisiwa na Mwendazake. Kwa mfano mradi kama wa Bwawa la Julius Nyerere, mimi ni kati ya Watu waliokuwa wanapinga kuwekeza matrilioni ya pesa za Walipakodi kwa mradi unaotegemea maji, ambayo tayari...
  2. Yericko Nyerere

    Kwa ufupi sana, Mtazamo wangu kwa Utawala wa Mama Samia

    Kwa Marekani wataalamu wa siasa za ndani kama Bob Bequn wanasema hivi "Siasa za Marekani zimegawanyika katika makundi makuu manne, kwanza ni siasa za Washington ambako umaarufu wa mtu kisiasa unaweza kuibuka kama uyoga na kuanguka ghafla kama jani kavu. Pili ni siasa za New York ambako siasa...
  3. FUTURE HUNTER

    MTAZAMO: Mungu bado hajalitupa taifa lake la Tanzania

    Nakumbuka mwaka 2012 nikiwa mkoa mmoja nyanda za juu kusini nilikuwa mwana maombi upande wa UKWATA.Kipindi Fulani wana maombi walikubaliana kufanya mfungo wa takribani siku 30 huku wakiomba Mungu awajibu mambo kadhaa. Mambo hayo ilijumuisha kubainisha harakati za kichawi kwenye ile shule, Mungu...
  4. mwakavuta

    Jenga mtazamo wako uanze kwa ushindi

    Badili mtazamo wako uanze kwa ushindi. Kuna msemo wa kingereza unasema kuwa “if there is no enemy within outside enemy can do no harm” yaani kama hakuna adui ndani adui aliyeko nje hana madhara. Unapanga kuanza kufanya nini, kwa njia gani, malengo yako ni nini na unapanga kuanza lini? Ni...
  5. sky soldier

    Kwa mtazamo wangu kinachozungumziwa kwa wanawake wahehe na wabena kusifika kwa upole nakubaliana nacho

    Wengi (Sio wote) Hii kitu kiukweli na mimi naidhinisha kuna ukweli kabisa. Wanawake hawa kiukweli kwa mtazamo wangu wanajua jinsi ya kuishi katika ndoa na kumtunza mwanaume na watoto kwa kiasi kikubwa. Narudia tena, sio wote ila ni wengi.
  6. G

    Mtazamo wangu: Simba wampe timu Zahera aifikishe mwisho wa msimu wakati wakitafuta kocha wa muda mrefu

    Binafsi nashauri timu apewe Mwinyi Zahera aisaidie kuifikisha mwisho wa msimu wakati Simba wakitafuta mbadala wa Sven ambaye atakua ni wa muda mrefu. Mwinyi si kocha mbaya japo anaongea mno kitu ambacho akipewa anagalizo anaweza kujirekebisha au wadau mnasemaje? Wewe kama mdau wa mpira...
  7. EINSTEIN112

    Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

    TIN yaani (Taxpayer Identification Number) Ikimaanisha namba ya utambulisho wa mlipa kodi. Namba hii imeunganishwa na taarifa za mtumiaji kama Namba ya NIDA, Passport ya kusafiria, Lesini ya kuendeshea gari, Kitambulisho cha Mpiga kura na sasa itaunganishwa na check namba ya muhusika. Athari...
  8. Mparee2

    Kwanini Serikali isiweke utaratibu wa soko la ndani kununua korosho?

    Wandugu, Nimekuwa nasikia kuwa soko la Korosho huko Duniani sio nzuri hali iliyopelekea wakulima wetu kubaki na korosho zao. Mtazamo wangu: Kwa kuwa mikoa ambayo haizalishi Korosho ambayo ndio mingi bei yake ipo juu sana (kuanzia shs 20,000 kwa kilo iliyo banguliwa); hii bei ni ya juu sana...
  9. B

    Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi. Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti. Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu? Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka...
  10. Doctor Mama Amon

    Mtazamo wangu: Postimitemu ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Uchaguzi mkuu umekwisha. Huu ni wakati wa kupiga tathmini. Nitaleta tathmini yenye vipengele vifuatavyo: 1. Mchakato wa kuandaa Ilani ya uchaguzi 2. Mchakato wa kujenga Mtandao wa kampeni za uchaguzi 3. Kusimamia kura za Maoni 4. Historia ya kufuata Katiba ya Chama 5. Utaratibu wa kufanya...
  11. The Boss

    Mtazamo wangu, mabadiliko yanayohitajika...

    Naona haya ni mabadiliko ambayo watanzania wengi wanataka... 1. Kuvunja Muungano.. Huu Muungano na uvunjwe Tu kuliko kutumia Damu za watu kuulinda.. 2. Kuifuta CCM.. Hiki chama hakiwezi kabisa kushindana bila kuiba kura wala ubabe na vurugu. Kwa afya ya Demokrasia yetu kivunjwe na kipigwe...
  12. Mwanamayu

    Akitoa hotuba wakati wa kuapishwa Dkt Magufuli. Je, mtazamo wa Museveni unahakisi ule wa wengi wa Marais wa Afrika juu ya demokrasia ya vyama vingi?

    Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity, strategic security na brotherhood. Ingawaje hiyo strategic security sikuielewa vizuri. Pia alisema kuwa...
  13. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu. Agosti 25, 2020 M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe...
  14. Mung Chris

    Kampeni zimepamba moto kila mtu na mtazamo wake akiona picha ya mgombea

  15. matunduizi

    Mtazamo: Anguko la CCM litaanzia Zanzibar

    Kwa mtazamo wangu, Raia wa Zanzibar wako more informed kuliko wa Tanganyika. Uthibitisho ni wakati Zanzibar ni nchi ya Pili afrika kuwa na Television miaka ya sabini sisi tumeanza mambo hayo tena kwa tabu sana miaka ya 90. Exposure yao iko huu kuliko sisi. Information is power. Sitegemei CCM...
  16. F

    Faili la Makabidhiano ya Urais wa JMT na yaliyomo ndani kwa mtazamo wangu Mimi

    Habari za pilika Wana JF Wenzangu. Niende madani. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza kwenye faili la Makabidhiano ya Urais Kuna nini ndani yake? Niliwaza hili wakati Rais Mkapa akikabidhi nchi kwa Rais Kikwete na Pia wakati Kikwete naye akimkabidhi Rais Magufuli. Hili jambo ni Muhimu kwani huu...
  17. Gavana

    Zanzibar 2020 Mtazamo wa Uchaguzi Zanzibar

    MTAZAMO TU Kwa jinsi mambo yanavyoenda hadi muda huu inaonekana wazi CCM wamefeli plan zote A.B.C na extra plan D+E Ukiangalia mikakati ovu ilopangwa kimantik inaonekana yote haipiti njia ilokusudiwa hii wasahili husema *KIFO CHA NYANI* Tuangalie jinsi mipango ilivyosukwa miaka mtano nyuma...
  18. M

    Mtazamo wa Mkulu na wanawake weupe

    Pamoja na kumuunga mkono Mkulu wetu kwa kiasi kikubwa katika maamuzi yake mengi, upenzi wangu haunizuii kuyasemea madhaifu yake kadhaa. Mara kadha Mkulu akimtambulisha msaidizi wake (Makamu) amekuwa akimsifia kwa "weupe na uzuri". Kwangu hilo linanichefua kwani kwa hadhi na nafasi yake akitoa...
  19. RAMAJ

    Upi mtazamo wako juu ya kipindi maarufu cha Jahazi kufungiwa?

    Siku ya jana, tumeshuhudia na kusikia hukumu iliyotolewa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania juu ya kipindi maarufu cha Jahazi kinachoruka kupitia Clouds Fm. Hukumu hiyo imekuja baada ya watangazaji wa kipindi hicho akiwemo G. Habash, Dj Fetty na wenzao kukiuka miiko na maadili ya utangazaji...
  20. Econometrician

    Uchaguzi 2020 Maoni na mtazamo wangu baada ya kuwa mjumbe katika kura za Maoni za CCM katika moja ya majimbo hapa Tanzania

    Mambo pekee niliyoyabaini katika uchaguzi huu wa kura za maoni ni kama yafuatayo:- Ni mara 100 urudi utaratibu wa zamani wa kila mwanachama wa CCM arudi kupiga kura za maoni. Huu mchakato wa sasa hivi ndio una rushwa zaidi. Angalia wajumbe ukumbini wanakaa katika kata zao, wanakwenda kupiga...
Back
Top Bottom