Walishazoea kufanya ufisadi na kuiba mali za umma na wakati wa uchaguzi wanawalaghai wananchi. Sasa watanzania walishawashutukia.
Mwaka 2015 baada ya kuona kuwa walishachafuka kwa ufisadi wakafanya ulaghai kujifanya wanawakataa mafisadi, kumbe ndio walewale. Mwaka huu na kuendelea watanzania...
Takribani siku kadhaa mitandao ya jamii imegubikwa na hoja ya utata wa akiba ya Taifa (6,253B). Hoja kubwa si kiasi si thamani ya kiasi bali neno Bilioni katika dollar ya kimarekani badala ya Milioni. Kiasi ni kikubwa kikilinganishwa na Milioni za mikopo, watu wanahoji kwanini kukopa ikiwa pesa...
Nilikuwa nasoma jarida moja nikaona kuwa mtu akichimba kisima kwa ajili ya matumizi yake ya nyumbani anatakiwa kulipia kodi ya shs 8,300 kwa mwezi.
Wakati huo huo matumizi ya kawaida ya nyumbani kwa maji ya Dawasco hulipia kati ya 4000 na 10,000 hivi.
kwa namna nyingine ni kama vile watu...
kasri ya kifalme mjini Beijing (Forbidden City)
mandhari ya kisasa mjini Shanghai
Kwa muda wa muongo mmoja sasa China imekuwa inatajwa kama nchi yenye uchumi wenye nguvu ambao unakaribia kuupita ule wa Marekani. Kwa watu wengi wa Afrika picha ya China kidogo ina mchanganyiko wa yale...
Na Ronald Mutie
Safari ya masaa 14 kutoka mji wa Hamburg nchini Ujerumani hadi mji mkubwa wa kibiashara wa China Shanghai ndio mfano hai wa mafanikio ya miradi ya Ukanda Mmoja, Njia Moja.
Tangu mwaka 2013 Rais Xi Jinping alipopendekeza wazo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, miradi ya uunganishaji...
Sote tumeona aina ya Kocha ambaye ameajiriwa na Simba SC. Kocha ambaye amechukua nafasi ya Didier Gomes.
Tukiamua kutumia jicho la tatu la kiuchambuzi kila anakubariana na mimi kuwa Simba SC inaenda kupitia changamoto nyingine ya kibahati nasibu.
Uzoefu:-
Yes anauzoefu wa kufundisha katika...
Wakuu kuhusu kilichotokea huko kwa kwa Sabaya ni kama mlivosikia, swali ni je hukumu hiyo imetolewa kama kuwafumba macho Watanzania ili itakapotolewa (mvua) hukumu kwa Mbowe ionekane kwamba imetenda haki?
Kwa hukumu hiyo ya Sabaya inaleta taswira gani kwa hukumu ijayo ya Mbowe?
Jana nilifanikiwa kuwaangalia baadhi WACHEZAJI wetu WA yanga nitatoa MTAZAMO WANGU kama ifuatavyo:
1. Bryson David
Huyu beki namba tatu anaonekana ni mzuri sana namuona uchezaji wake ni Kama wa yassin. Anajua kushambulia, anajua kukaba, anajua kupiga cross, kimo kizuri cha mpira. Amemzidi mbali...
Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM.
Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
Masoud Kipanya, wengi tulianza kumfahamu miaka ya mwishoni mwa 1990 na miaka ya mwanzoni mwa 2000.
Kadiri miaka ilivyokwenda ndipo Masoud Kipanya aliendelea kuwa maarufu na kujulikana katika mambo mbalimbali, vijana wengi kumbukumbu yao kwa Masoud Kipanya ni kipindi cha Chuchu ambacho...
Nianze na Profesa Mwandosya
Ni mhandisi wa umeme
Alisomea Japani
Amefundisha vyuo vikuu vingi kwanjia ya video conference kitambo
Hakusomea masters ila akawa Prof how? Alikuwa wizara moja na JK enzi za Mwinyi. Wakagombana. Mwinyi akawapatanisha
JK alipokuwa waziri akamteuwa kwenye serikali...
Kikao cha watu saba baada ya Magufuli kutoweka duniani kilikuwa na maazimio yafuatayo
1. Bashiru pamoja ná wenzake wasichukuliwe hatua haraka maana wangezalisha bomu la wanaojua serikali in and out bali wafanyiwe demotion na wawe chini ya uangalizi Kwa miezi 4
2. Baraza la mawaziri alibadili...
Ulimwengu wa roho ni timilifu na mambo yake huenda na kufanyika juu ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu.
Ukiachana na makafara yanayosemwa kuitaabisha sana nchi. Hapa nazungumzia yale makafara mawili makubwa la Bagamoyo na la Lindi ambayo sasa ni kama uhai wake unafikia tamati. Kuna lile...
Habarin wadau .... mi nlkua naulizia suala.la wabunge wale wa chadema almaarufu kama covid19 je bado wapo kisheria pale bungeni huku wakiwa wamevuliwa uanachama? Rais hajaliona hili? Kesi yao ile imefikia wapi?
Tukio la kuchapishwa kwa habari ya Uzushi kwenye ukurasa wa mbele kabla wa gazeti la Uhuru iliyosema"Sina wazo kuwania Urais 2025-Samia" limenifanya nitafakari sana Uwezo na Umakini wa Katibu mkuu wa CCM Ndg Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi ndg. Shaka. Naamini CCM ni chama kikubwa sana...
Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona
Askofu yeye anadai tumuomne sana Mungu kwani alikua ameshaliponya taifa na korona ikaisha, pia analaumu...
Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi.
Hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini...
Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali ikiwemo siasa za bara la Africa. Tunafahamu katika tools za kupatia taarifa kwa mashirika ya...
MTIZAMO
AGIZO LA RAIS, WAZIRI WA FEDHA PAMOJA NA WAZIRI MKUU JUU YA MABADILIKO YA TOZO ZA MIAMALA
Wakati tozo mpya za miamala zinatangazwa, nilikuwa miongoni mwa watu waliounga mkono wazo hilo la Solidaty Fund
Nililiunga mkono kwa kuzingatia lengo lake pamoja na matarajio yake. Miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.