Nikiri kwamba andiko hili limepata nguvu kutokana na mauaji yaliyofanyika katika Bar ya Lemax, Sinza, kama yalivyoletwa na Tusker Bariiiidi. Kupitia taarifa ya ITV, ukichunguza kwa umakini utagundua kuna mhanga wa hili tukio, mwili wake umelala kwenye kiti, ingawa polisi wapo wakirandaranda kila...
hivi kwanini kila serekali inapo zungumzia kuhusu COVID-19 aidha idadi ya wagonjwa, au kuhusu chanjo au kuchukua tahadhari, basi watu wanakuja na hoja za "wanaipigia debe COVID-19 ili wapate mikopo sijui nn na nn..
njia gani itumike kuwaelemisha watu juu ya hili suala?
Nawasalimu wana jukwaa,amani iwe nanyi!
Kwanza kabisa naomba nimshukuru Mungu kwa kunijaalia uzima hadi ninapoandika andiko hili sina budi kusema Alhamndulilah!
Bado kuna upungufu wa walimu wa masomo ya sanaa kulingana na idadi kubwa ya wanafunzi hasa shule za mijini japo mahitaji ya serikali...
Waelewe watu usiwahukumu watu
Binadamu hufanya maamuzi kwa hisia alizonazo kwa wakati huo
Akiongea maneno mazuri au mabaya anafanya hivyo kwa sababu ya hisia zake kwa wakati huo sio kwa sababu yako
Hisia zake zikibadilika na matendo yake hubadilika
Kila kitu huanza kwenye fikra na ikiwa mtu...
Rafiki yangu mpendwa,
Kauli huwa zinaumba.
Kauli zinaumba kwa sababu zinatokana na mtazamo na imani zilizo ndani yetu.
Kauli tunazotumia zinatokana na kile tunachoamini.
Unaweza kujiambia ni kauli ya kawaida tu, ila kama unaitumia, jua ina nguvu kubwa sana kwako.
Kuna kauli kumi ambazo kama...
Mimi binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Tanzania tuna corona.
Nchi hii bwana watu wanaotutangazia kwamba tuchukue tahadhari ndio haohao unawakuta baa wanakunywa pombe na kukumbatia mpaka wahudumu.
Unawakuta anayetutangazia corona yeye ndiye wa kwanza kwenda msikitini au kanisani...
Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood.
Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood.
Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
Mwenyekiti wa chama cha chadema mheshimiwa Freemani Mbowe ametangaza kutogombea tena uenyekiti pindi tu awamu hii itakapokwisha(2023).
OMBI:Mbowe agombee tena 2023 na baada ya hapo awamu inayofuata ndo asigombee.
SABABU:
Chadema imepitia kipindi kigumu sana hasa awamu ya 5 lakini kutokana na...
Je, COVID-19 ni nini?
COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
biashara
chanjo
chanjo ya corona
corona
covid 19
fursa
korona
kuhusu
kupima
kutumia
mabeberu
macho
mafua
maoni
matarajio
mawimbi
mipango
mjadala
mtazamo
nje
pesa
risk
tafakari
tanzania
ukweli
uongo
utoaji chanjo
uviko
uviko 19
wako
world
Habari wadau,
Awamu iliyopita wengi waliililia katiba mpya sababu utawala uliopita wa awamu ya tano kiukweli uliwabana sana mbavu kila kona mpaka wakajiona kama wao sio sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lakini SAP baada ya kuingia Mama Samia katika kiti cha Urais kwa kipindi hiki...
Kwa miaka mingi sasa tumeacha wanasiasa wakijadili mitazamo mbalimbali ya mustakabali wa elimu yetu hasa wakiangalia output ilioko mtaani bila ajira. Haya ni maoni yangu ya nini kifanyike.
Mosi - Kwa wanaohisi mtaala wetu una mapungufu mengi sikubaliani nao changamoto kubwa katika elimu yetu...
Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila uchao kuniachia na kuniimarishia uzalendo wangu kwa nchi...
Takukuru ni chombo cha kumulika na kuwaangza watoaji, wala rushwa na hata wanaoishabikia.
Inaonekana kwamba aidha kuna Takukuru ambao wanafanya kazi sana au wengine hawaonekani kufanya kazi kutokana na maeneo kwakua labda hakuna vitendo vya rushwa au hao takukuru wenyewe ni wala rushwa...
Mara kadhaa, mama Samia anasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Huenda ni watu aina moja kwa sababu wametokana na uchaguzi mmoja.
Ukifuatilia kauli zake hasa katika hotuba ya leo, dira ya Taifa katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo na Ilani ya CCM vinaonyesha tofauti kubwa katika utekelezaji...
Sijui niseme maisha ni magumu sana au sijui niseme utandawazi!!! Kwanini mabinti wa vyuo wanakuwa warahisi sana kutongozeka!
Yan ukigusa imooooo tena ukiwa mwepesi kama lionel messi aloooooo haichukui hata siku mbili yupo geto sasa hapo ukiwa na meno kama ya fisi yaani unakula tu mifupa kwa...
Ni wanasiasa gani umewai kutana nao Live na Mliongea nini Mkashauriana nini.
Mwaka 2003 nilikutana na Mzee Hassan Mwinyi kabla sijaanza kufanya kazi na serikali kwa Ukaribu, tuliongea Mengi na nikamkumbusha mambo Mengi ya Nyuma ya History yake binafsi ambayo Wengi hawajui kwakuwa niliipata...
Habari wana jamvi poleni na kazi,
Katika harakati za hapa na pale kuhusu mustakabali wa taifa na mambo yote yanayoendelea ningependa kutoa mtazamo wangu kuhusu hawa watu wanaoitwa '' mababeru''. Ni jambo amabalo lianishangaza sana sana watu huku mitaani pia na kwenye majukwaa ya kisiasa kumekua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.