mtoto wa museveni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Museveni awa Askofu. Mamlaka ya Mapato Uganda 🇺🇬 yatumia ukurasa mzima kumpongeza.

  2. JamiiForums Tanzania Idara za Usalama chi kubwa wanajua tuna ushirikiano na Uganda na ndio washauri wetu

    Kuna mada hapa JF niliweka ila JF kujipendekeza walifuta labda kama mnalipwa kuishi na hawa watu. Mada hapa niliweka kuhusu mwenendo wa Uganda unavyofanya na Tanzania unavofanya. Ili bomba la mafuta kutoka Uganda lazima watu wawili wakubali damu zimwagike kwa njia sawa. Kuna faili zipo ambazo...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Museveni, Jenerali wa Majeshi anasema ukimgusa mwanamke asiye na makalio makubwa unaenda moja kwa moja kuzimu, hakuna cha kukusaidia

    Ila huyu jamaa🤣🤣, nasikia ndio rais mtarajiwa wa UG
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Museveni, Muhoozi: Namfuta Bobi Wine kushiriki kwenye shughuli zozote za Kiuchaguzi nchini Uganda

    Wakuu, Mkuu wa Majeshi Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ameibua mjadala mkubwa baada ya kuandika ujumbe kwenye mtandao wa X akidai kuwa ana mamlaka ya kumzuia Robert Kyagulanyi Ssentamu, maarufu kama Bobi Wine, kushiriki tena katika chaguzi za Uganda. Kupitia ujumbe huo uliowekwa mtandaoni Januari...
  5. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi mtoto wa Museven alipongeza jeshi lake kwa kuwatesa wapinzani, atangaza kumteka Bobi Wine hadharani

    Mods tafadhalini msipeleke post hii jukwaa la Uganda, Lile jukwaa halipo active Hii leo taasisi ya haki za Binadamu Uganda imemuomba Muhoozi kumuachia Edward Mutwe, Mlinzi mkuu wa Bobi Wine (Mpinzani mkuu Uganda) aliemteka na kumpa mateso makali. Muhoozi alijibu LOO! Kama hawa watu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda hali si shwari: Mlinzi mkuu wa Bobi Wine aliyetekwa na mtoto wa Museveni afichua mateso zaidi ya 15 aliyoyapitia, hawezi kutembea wala kulala,

    https://x.com/HEBobiwine/status/1920087242871112128 Edward Mutwe, ambaye ni mlinzi mkuu wa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, alitekwa na mtoto wa Musebeni ( Muhoozi ) tarehe 27 Aprili 2025. Leo hii kafikishwa mahakamani akiwa kwenye hali mbaya sana anabebwa. Haya...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi huyu mtoto wa Museveni dishi lake limeyumba nini?

    Huyu Kaneirugaba naona kama vile hazijamkaa sawa kichwani! https://youtu.be/geBJ2Qb-ytM?si=W_d1_OSATPupROkp
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Museveni: Kwa wanaojaribu kupigana na Uganda na Rwanda nawaonea huruma. Sisi ni watoto wa Mungu

    Sawa ndugu, ili usimuingize Yesu Kristo kwenye mambo yenu ya kijinga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…