Alikuwa ni mpenzi wangu, dem wangu, nilimpenda sana kwa ghafla, nilipoanza nae mahusiano muda mchache tu nikaanza kupanga plan nyingi za kutimiza nae malengo fulani katika maisha,
Nikaanza kuwa na mawazo ya kutamani awe mke wangu siku moja, nikaanza kumtambulisha kwa ndugu na marafiki...