Anaandika Gerald John Komba, mtoto wa kwanza wa marehemu Kepteni John Komba.
________________________________
Wakati namuuguza Marehemu Baba, siku moja nilimshuhudia akilia Machozi. Nilimuuliza, kuna tatizo gani Baba?
Akaniambia "Gerald, ndugu zako wananiua"... sikumjibu kitu, lakini lile neno...