Vipo vitu Nchi hii ukivifikiria hakika unaona wazi vinaaksi ujinga wetu na kwayo ndiposa Viongozi wetu huwa wanautumia uzwazwa wetu kutupiga.
Mfano hilo la gesi ya Mtwara, kwa mjibu wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haina chake kwenye gesi yetu wenyewe na alitueleza bayana wajanja walishatupiga...