muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

    Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle Nikaja kugundua kwamba nipo...
  2. George Charles007

    Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase! Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
  3. baba aura

    Kuugua mafua kwa muda mrefu hupekekea kuziba kwa mishipa?

    Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
  4. O

    Miguu kupata ganzi wakati wa kukaa muda mrefu

    Wanabodi habari za mchana. Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana! Naomba msaada kujua tatizo linaweza kuwa nn? Dr Ahmed Albah-Shahwa na Madr wengine msaada.
  5. O

    Nikikaa muda mrefu napata ganzi za miguu

    Salam wadau wa afya, Nimepata tatizo kwa muda wa week tatu sasa, nikikaa muda mrefu mfano choo cha kukalia nikikaa kwa muda napata kusikia ganzi miguuni. Inaeza kuwa inasababishwa na nn?
  6. Webabu

    Yemen chini ya Houth yataja mikakati yake ya kupigana na Marekani kwa muda mrefu

    Marekani haikujua kuwa wamechokoza adui ambaye anaweza akawaletea kusalimu amri kwa mara nyengine kama ilivyotokea kule Vietnam na Afghanistan. Wapiganaji wa Houth wamesema wana mikakati endelevu ya kupigana na Marekani mpaka pale Israel itakapoacha uadui na Palestina. Mikakati iliyotajwa na...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi

    Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi Mbunge Asya Sharif Omar amesema ipo changamoto kwa wizara ya Maji watumishi wake ngazi ya Wakurugenzi na wakuu wa vitengo kukaimishwa kwa muda mrefu katika nafasi walizopo. Akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge...
  8. G

    Ni kitu gani kimewahi kukutesa kwa muda mrefu ukiachana na mahusiano ama kumpoteza mtu?

    Kwenye maisha kuna kipindi unakuta unapitia machungu kama vile Kufirisika / kufulia Uraibu uliokurudisha sana nyuma kiuchumi mfano kubeti, ulevi, n.k. Matatizo na vyombo vya sheria mfano kesi za mahakamani, Mapolisi kukusumbua, n.k. Kurogwa - Hatupaswi kuuamini ila haya mambo yapo hata kwenye...
  9. M

    Anayefaham hotpot ambazo zinatunza joto Muda mrefu

    Habari wadau, Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
  10. Webabu

    Netanyahu na Rais Biden hawasemezani kwa muda mrefu sasa. Sababu ni vita vya Gaza

    Vita vya Israel na Palestina vinazidi kutoa matokeo hasi na ambayo hayakutarajiwa kabisa. Mataifa rafiki na ya kiislamu yameanza kutofautiana na kuanza kupigana yenyewe mfano ni Iran na Pakistan na Iran kupiga ndani ya Syria na Iraq bila hofu ikiwinda vikundi vinavyofadhiliwa na Israel. Hata...
  11. Ritz

    Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

    Wanaukumbi. Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
  12. P

    Ni furaha iliyoje kurejea nyumbani baada ya kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu?

    Ni takribani miaka 15 tangu nimeondoka nchini na kwenda kutafuta fursa katika nchi za wazungu. Ni katika harakati za binadamu kutafuta rasilimali za kuboresha maisha yake na ya watu wengine wanaomzunguka. Hivyo mimi si wa kwanza na sitakuwa wa mwisho. Hata muda huu ninavyoandika airport, bus...
  13. sinza pazuri

    Hatimaye Anjela atimiza ndoto yake ya muda mrefu, Zuchu akubali kufanya nae kazi

    Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake. Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu. Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
  14. Chizi Maarifa

    Hatimaye Samia amejipata baada ya kujitafuta kwa muda mrefu

    Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji. Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha. Nasubiri...
  15. L

    Placement za PSRS kuchelewa kwa muda mrefu

    Habari zenu wakuu? Kuna suala linanichanganya sana akili. Ni kuhusu placement za PSRS kuchelewa mno. DUCE walikaa miezi mingi kabla ya kuitwa (sio chini ya 8). Kwa sasa kuna kada tangu ifanye usaili mwezi Julai 2023 mpaka leo hii Dec 15 bado hayajatoka majina ya walioitwa kazini. Najaribu...
  16. W

    Viongozi 9 kutoka Afrika waliotawala kwa muda mrefu zaidi na bado wapo madarakani

    1. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo - Miaka 44 Huyu anashikilia rekodi ya kuwa Mtawala aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani. Ni Rais wa Equatorial Guinea ambaye ameshika madaraka tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua Mjomba wake Francisco Macías Nguema. Mbali na Afrika, Mbasogo anashikilia rekodi...
  17. Ritz

    Biden amekatishwa tamaa ikiwa anaamini "wameanza" tu kupoteza uungwaji mkono, walipoteza uungwaji mkono muda mrefu uliopita

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1734635313849397334?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw Mambo yameanza kuwa magumu kwa Israel na Marekani hali tete baada ya Marekani kumtekeza Israel wameanza kushtuka hawafahamu hatina ya vita wanauwa raia wasikuwa na hatia na Hamas ndiyo kwanza wanaanza...
  18. kimsboy

    Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

    Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!! Kama mnadhani mtafanikiwa...
  19. sky soldier

    Baada ya muda mrefu nimepata mtandao mzuri wa kunishauri muvi/series kulingana na vionjo vyangu, Ni zaidi ya kuchuja Genre, napata kitu roho inapenda.

    Nimezunguka sana jamiiforums, reddit, yts, n.k. katika kusaka muvi kali za kucheku lakini nikaja gundua watu tumetofautiana vionjo, ushauri wa muviz upo juu juu haujaingia kwa ndani kugusa vionjo vya ndani zaidi, matokeo yake unaweza shauriwa cheki muvi flani lakini unaishia kupoteza data na...
  20. B

    Bunge baada ya kuchokwa kwa muda mrefu wamekuja na kiki ya ku-trend

    Bunge lililokosa uungwaji mkono na wananchi walio wengi kwa muda sasa wananchi wamelipotezea na kulisusa. Ktk mitaa mingi mikoa na wilaya watu hawamjui hata Waziri wa Kilimo ni nani wala waziri wa Maji. Imefika mahali watu wanahamia kwenye hoja na mojadala ya mitandaoni kama Facebook...
Back
Top Bottom