Nakumbuka mwaka jana nilihudhuria harusi ya rafiki wangu (wa kike),asee was very impressed kwa kweli. Si unajua pale tena harusi za siku hizi wale maharusi wanachukua time ya kuelezea familia zao na kujuana ndugu wa pande zote.
Basi kwenye maelezo yule jamaa akasema alikutana na huyu manzi...
Habari zenu ndugu zangu wa JF
Hii ni mara yangu ya kwanza kushiriki na swali ni kama linavyojieleza hapo Niliwahi soma clinical medicine mpk Level 5 semester 1 changamoto za ada ikanilazimu nisimame nihangaike na mishe zingine nashkuru Mungu nimejipata kiasi
Sasa juzi wakati nacheki student...
Sidhani kama kuna mwana JF alishawahi kupita mitandaoni na kukosa kuona picha za hawa mabinti. Hata kama nia yako sio ku-search mabinti mitandaoni utashangaa unaona picha zao na mara nyingi zikitumika na profile tofauti tofauti na wapigaji wa mitandaoni.
sijui nini reason behind ya hawa mabinti...
Ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha Mwalimu Maganga kukataliwa ombi lake.
Wanadhani wao watakuwa salama?
Hata kama ana makosa, bado kuna kila sababu ya kulinda nguvu ya chama cha walimu.
Ama sivyo tukubaliane wazi kwamba chama hiki hakiko huru na...
Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.
Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo...
Jinsi ya Kuwa na Mahusiano ya Muda Mrefu na Mbinu za Kufuata
Mahusiano ya muda mrefu ni kitu ambacho kila mtu anatamani kuwa nacho. Ni muhimu kutambua kuwa mahusiano ya muda mrefu yanajumuisha kazi na juhudi za pande zote mbili. Hapa chini, tutajadili mbinu kadhaa ambazo zinaweza kusaidia...
adriz na Bila bila Elimu yetu ile Kubwa ya kule Peru na Costa Rica imetusaidia sana kuwaza mbali zaidi ambako Wengine hawawezi.
Simpigii tena Promo Demu ambaye hata bado sijamuona nikihisi labda ni mzuri na atanifikisha Kileleni na Begi langu baada ya kumuona huyu Demu wa Jana ni wa Kawaida (...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
Habari wakuu,
Hii barabara kuanzia Segerea-Bonyokwa mpaka Kimara kwa sisi wakazi wa maeneo hayo ilikuwa kero kubwa sana sababu kutokana na ubovu wake hasa kipindi cha mvua. Hii barabara imekuwa ikilalamikiwa miaka na miaka lakini serikali ilikuwa imeziba masikio lakini sasa kilio kimewafikia...
Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji.
Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
Habari JF,
Baada ya uelekeo wa kubinafsishwa bandari yetu ya DSM, nimejaribu kuangalia kwa undani miaka 100 ni mingi kiasi gani.
1. Hivi unajua nchi tangu imepata uhuru na awamu zake sita zote hatujafikisha miaka 100?
2. Hivi unajua Baada ya Miaka 100 karibu binadamu wote tuliopo sasa...
1. Hasira za mara kwa mara
Mtu ambaye hajafanya mapenzi kwa mda mrefu upatwa na hasira kwa uharaka hata katika mambo madogo hata yasiyo na maana yeye huyatilia maanani.
2. Kuumwa kichwa mara kwa mara
Kupatwa mahumivu ya kichwa mda mwingine hutokea hata kwa wale wanaofanya mapenzi mara kwa mara...
Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa.
Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri...
Wakulima na Washauri wa Kilimo,
Salaam!
Tukitaka kusonga mbele katika sekta hii ya kilimo inabidi tubadili utamaduni na mfumo mzima wa kilimo kwa kuwa kuendekeza njia za mapokeo imesababisha tuendelee kukwama.
Kimkakati mazao ya muda mrefu ni pamoja na avocado (Hass hivi sasa bei kwa...
Aliyekuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte Powdrell amemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano.
Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika...
Matokeo yoyote yanatokana na mchakato/ mfumo fulani.
Hasa matokeo yatakayokupa furaha na maendeleo kwa muda mrefu.
Kujali mchakato ni kufanya kila unachotakiwa kufanya kwa muda huu bila kujali unavyojiskia, hatua inayofuata au matokeo yatakuaje.
Mchakato unahitaji nguvu zako kila siku.
Ukiwa...
Utafiti unaonyesha kuwa mitazamo ya vijana wa kizazi cha sasa cha milenia kuhusu uchumba na ngono ni tofauti na watangulizi wao.
Watu waliozaliwa kati ya mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 wanaitwa Generation Z kwa lugha ya kingereza, wanatafuta njia ya kupenda na kufanya...
Huyu jamaa, naona bado hajapona vizuri.
Halafu mbona kakonda sana?
Wazee wa ramli chonganishi, vibuyu vinasemaje huko?
====
Salaam Ndugu zangu,
Kwanza namshukuru sana Mungu aliye hai kwa uponyaji na kunipa nafasi nyingine ya kuendelea kuwa hai. Hali yangu ilikuwa mbaya isioelezeka, asante...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.