muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Influenza

    Rais Samia: Tumerudisha nyongeza ya mishahara ya mwaka kwa Wafanyakazi

    Rais Samia akiwa katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi mkoani Morogoro amebainisha kuwa nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa, zimerudishwa mwaka huu Amesema “Wafanyakazi wote mwaka huu, mbali na Kupanda Madaraja, na mambo mengine, kuna nyongeza za mishahara...
  2. NetMaster

    Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

    Habari wakuu, nguo ni mojawapo ya mahitaji matatu muhimu. Ni hitaji muhimu lakini bajeti yake nayo inabidi ichungwe hasa kwa kina sisi ambao bado uchumi haujawa stable. Huwa nasikitika sana nimenunua nguo lakini nikifua tu mara mbili ama mara tatu ni hohe hahe, nguo inakuwa imeanza kufifia na...
  3. Bushmamy

    Manyara: Mtuhumiwa wa Ujangili akamatwa

    Mtuhumiwa wa ujangili wa Twiga ambaye amekuwa akisakwa kwa muda mrefu na askari wa Wanyamapori katika hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori Burunge, wilayani Babati mkoa Manyara Amos Benard Meja amekamatwa Jana usiku. Mtuhumiwa huyo amekamatwa kutokana na mtego ulioandaliwa na askari wa Mamlaka ya...
  4. Melki Wamatukio

    KWELI Kuketi sehemu moja kwa Muda mrefu ni hatari kiafya

    Kuna ukweli wowote kwenye hili kuwa kuketi kwa muda mrefu sehemu moja pasipo kutembea au kujishughulisha na kazi yoyote ni hatari kwa afya?
  5. benzemah

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao. Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
  6. Black Opal

    Unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani kwa muda mrefu kwenye friji bila kuungua na barafu au kuoza?

    Heri ya Pasaka Wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani zisiungue na barafu au kuharibika ndani ya muda mfupi? Huwa nikiweka tunda kwenye barafu nikiwa nataka lipate baridi kwa mfano, nikijisahau nakuta limeungua, au ukiweka matunda/mboga...
  7. Dasizo

    Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

    Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?
  8. Maleven

    Kifupi, TANESCO sio wawajibikaji,mwenye mbadala wake anijuze

    Hapa ninapoandika umeme umekata, Sijui ni lini umeme kukatika itakua historia, at least kwa mwezi ukatike mara moja. Kwa mfano eneo ninapoishi, Ndano ya siku kumi (10) 1. Wameka umeme kuanzia asubuhi hadi jioni giza laanza kuingia mara tatu (3). 2. Wamekata umeme usiku kuanzia mida ya saa nne...
  9. K

    Tumefanywa Misukule muda mrefu. Lema tukomboe

    Kaka Lema hii ngoma unayopiga imefika mpaka Ndani walipofugia misukule (wtz) endelea kuipiga hiyo ngoma kwa ustadi zaidi ili wafuga misukule (viongozi waovu) waamke na kutubu. Haiwezekani tufikirishwe vitu vidogo vidogo. Haiwezekani eti bodaboda ni ajira wakati hainihakikishii maisha marefu na...
  10. BARD AI

    Mapacha waliozaliwa kwa Ujauzito wa miezi 4 waweka Rekodi ya Guinness kwa kuishi muda mrefu

    Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya siku 125 iliyowekwa mwaka 2018 na Mapacha wengine kutoka jimbo la Iowa, Marekani. Kwa mujibu wa Guinness, Watoto hao wamezaliwa zikiwa zimesalia Wiki 18 kufika Wiki 40 zinazotakiwa Kiafya kwa Mama Mjamzito kuwa...
  11. M

    Tatizo la uume kutokusimama muda mrefu pia unakuwa haujakaza sana

    Wakuu hili tatizo linatokana Na nini? Msaada please
  12. M

    Kuna madhara nyuzi za tohara zinapobaki mwilini kwa muda mrefu? (Miaka 13)

    Maana japo ni muda ila zile nyuzi hazijatoka japo hospitali walisema zitaoza Na kutoka zenyewe. Zimepelekea mpaka chini ya kicha cha uume kuwa kugumu kiasi maana nyuzi zipo ngangali pale zilipoweka Na sasa ni zaidi ya miaka 13. Je kuna madhara kwenda kuzitoa wakuu? Au zinapobaki haziwezi leta...
  13. F

    Chini ya Msambatavangu na Tulia itaichukua CHADEMA muda mrefu kurudi Iringa na Mbeya

    Usione Mchungaji Msigwa na Mr.Sugu wamechakazwa mno na wakina mama kule Iringa na Mbeya ambako wanachukuliwa kama wafalme ukaona ni tukio la kawaida. Jesca Msambatavangu ambaye ni mbunge wa Iringa na Tulia Ackson ambaye ni mbunge wa Mbeya ni wanawake kwa muonekano tu lakini ni mashupavu kama...
  14. Sildenafil Citrate

    NADHARIA Matumizi ya Muda mrefu ya Dawa za uzazi wa Mpango husababisha kuzaa watoto wa Kiume wenye homoni za Kike

    Miaka ya hivi karibuni, matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (Vidonge na Sindano) yameongezeka sana, hali inayozua wasiwasi wa usalama wake miongoni mwa watumiaji. Baadhi wameonesha wasiwasi wao kuwa dawa hizi husababisha kupata watoto wa kiume wenye homoni nyingi za kike, au hata kupata watoto...
  15. Infinite_Kiumeni

    Ameniacha Na Kwenda Kwa Mwanaume Mwingine Baada Kuishi Naye Muda Mrefu. Nifanyaje?

    Mwanamke hupenda na kuacha kupenda taratibu. Ukiachana na mwanamke kicheche au kuwa anakulipizia baada ya wewe kumsaliti, mwanamke mpaka akuache lazima kuna sehemu ulianza kutetereka. Akakuvumilia akiamini utabadilika lakini wapi. Sasa amekuacha unaona ghafla lakini kamwe sio ghafla alianza...
  16. G

    Rafiki tuliyezoeana muda mrefu kapunguza mawasiliano na mimi, ni wiki mwezi tangu nifungue biashara karibu na ofisini kwake je, ndio chanzo?

    Alikuwa ni rafiki ambae ananichangamkia sana haipiti siku bila kunitumia meseji za salamu, alikuwa anapenda tuchat, kukumbushana visa vya shuleni, n.k. Kiukweli niwe muwazi kiuchumi tumepishana ila hatuchunguzani sana, tunajuana vichache yeye anajua tu kwamba mimi nina biashara kadhaa ambazo...
  17. Nyendo

    Ni imani gani potofu uliiamini kwa muda mrefu halafu ukaja kujua si kweli?

    Dhana potofu ni imani zinazojengeka kwenye jamii ambazo si za kweli. Dhana hizi hurithishwa kwa vizazi na watoto hufahamishwa tangu wakiwa na umri mdogo. Mfano wa dhana potofu ni ugonjwa wa mabusha "Hydrocele" kusababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Je, imani ipi potofu unaijua kwenye jamii...
  18. BARD AI

    Utafiti: Wanandoa wanakaa na Hasira na Vinyongo muda mrefu hufariki mapema

    Utafiti wa zaidi ya miaka 17 wa Chuo Kikuu cha Michigan nchini Marekani ulibaini kuwa Wenza wanaozungumza baada ya Kukwazana na Kupandishana Hasira, wanaishi muda mrefu zaidi. Pia, utafiti umebainisha kuwa Mtu mwenye Hasira muda mwingi huwa na huzuni ambayo inamuweka kwenye hatari ya kupata...
  19. G

    Kwanini inachukua muda mrefu kutoka oral hadi placement? Nadhani watu wapewe kwanza matokeo ya oral kwenye akaunti zao halafu wasubiri PDF

    Kwanini inachukua Muda mrefu kutoka oral Hadi placement? Nadhani Kwanza watu wapewe matokeo ya oral kwenye akaunt zao alafu wasubir PDF.
  20. Meneja Wa Makampuni

    Ni wizara gani ungependa mawaziri wake wasiwe wanakaa kwa muda mrefu kwenye hiyo wizara?

    Ni dhahiri zipo baadhi ya wizara zipo very delicate kiasi kwamba waziri akiyumba kidogo tu watanzania wote wanapoteana. Hivi sasa zipo wizara zinalalamikiwa kila siku sio mtaani, wala bungeni, wala mtandaoni, pengine hata kwenye mikutano ya vyama. Kutokana na kuyumba kwa maamuzi ya wizara basi...
Back
Top Bottom