Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema.
Raia 425,000 wanapiga Kura katika Taifa hilo lenye watu 1,512,450. Obiang anachuana na Buenaventura...