Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).
Habari wadau wote wa JF.
Kweny pitapita zangu za hapa na pale humu JF sijakutana na general thread yeyote iliyoanzishwa kwa ajili ya chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili, bac nimeamua kuanzisha thread hii mahususi kwa ajili ya chuo chetu pendwa MUHAS kwa ajili ya wote waliowahi soma...
Madaktari wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili wanaendelea kufanya upasuaji wa kupandikiza figo ambapo wagonjwa 12 kuanzia leo watapata huduma hiyo sita kati yao watafanyiwa Upanga kwa njia ya kawaida na sita watafanyiwa wiki ijayo huko Mloganzila kupitia mfumo wa matundu madogo.
Akizungumza na...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imejumuisha lugha ya alama ili kutoa usaidizi kwa wagonjwa wenye tatizo la kusikia ili kuwaondolea changamoto za mawasiliano wakati wa kupata huduma za matibabu hospitalini hapa.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Masikio, Pua na Koo, Dkt. Aslam Nkya uamuzi huo...
Ni nani alieanzisha biashara ya parking MUHIMBILI?
Pesa inayopatikana inamnufaisha nani?
Ni haki kumtoza pesa mgonjwa kwa kupaki gari lake tu?
Ni kweli binadamu mtanzania amekosa utu na huruma kiasi Cha kutoza pesa WAGONJWA?
Mkazi wa Dar es Salaam aliyejitambulisha jina la Mussa Mawa amekamatwa katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akijihusisha kutapeli wananchi wanaopata huduma kwa kujifanya daktari.
Mkuu wa Idara ya Ulinzi Bw. Alfred Mwaluko amesema kuwa wana usalama walimbaini daktari huyo feki akiwa...
Wakuu!
Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!
Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya...
Kumeingia mtindo mpya wa kujitafutia miradi. Sasa mkurugenzi wa Muhimbili anataka kuanzisha mradi wa upigaji eti Muhimbili ibomolewe na kujegwa upya wakati kuna vijana hawana hata mabweni ya kulala.
Kwani kuna tatizo gani ya maeneo ya kujenga mpaka wakabomoe hospitali! Kwanini basi pasibakie...
Kama kuna Timu kwa sasa itakuwa ni ya Pili Kwangu Kuichukia baada ya ile nyingine inayojulikana na kila Mtu kuwa naichukia zaidi basi itakuwa ni Azam FC.
Timu imejaa Unafiki na Uyanga mno.
Hospitali ya Taifa Muhimbili na Amana zimesema upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa sasa ni asilimia 97.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Mfamasia wa Hospitali ya Muhimbili, Nelson Faustine amesema, hali ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika taasisi hiyo imeimarika na wameshuhudia...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam, Godfrey Mikinga na Mkurugenzi wa Usafi wa Usimamizi wa Usafi wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingiza (DAWASA), Lydia Ndibalema wawe wamekamilisha...
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Muhimbili Mloganzila Fabian Kamana akimfanyia uchunguzi mgonjwa kwa kutumia mashine ya ECHO .
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila Dkt. Fabian Kamana ametoa rai kwa jamii kupunguza matumizi ya mafuta, chumvi...
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza.
Ahadi hiyo...
Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa...
Ili ziweze kutoa huduma kwa ubora na kuipa Muhimbili eneo kubwa mle kuwa na taasisi zaidi ya moja pamesababisha kuwa na msongamano ambao mpaka sasa umesababisha magari kuanza kulipia
Majaribio ya utaratibu mpya wa maegesho ya kulipia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili yameanza wiki hii, ikiwa ni jitihada za kupunguza msongamano wa magari.
Akizungumzia utaratibu huo, Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Mohammed Janabi alisema majaribio yatadumu kwa wiki mbili...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya Figo.
Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimishwa kwa mbio...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), inatarajia kufanya upandikizaji figo kwa wagonjwa sita ifikapo Julai.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Juni 30, 2023 na Mkuu wa Kitengo cha Figo Muhimbili, Dk Jonathan Mngumi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo.
Hadi sasa, wameshapandikiza...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi amesema “MNH ndio hospitali kubwa Tanzania ambapo wataalamu bingwa wa kada nyingi wanapatikana hapa ambapo kwa siku tunaona wagonjwa wa nje kati ya 1,500 hadi 2,000 na waliolazwa takribani 1,300.
“Asilimia 36 ya...
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ametoa taarifa hiyo na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa zaidi kwa makundi hatarishi wakiwemo wanaojidunga Dawa za, Kulevya
Aidha kwa mujibu wa Takwimu za MNH, Saratani ya Ini ni ya pili kwa...
Inaaminika kuwa mwanamke asiposhika ujauzito basi tatizo la ugmba analo yeye.
Lakini wataalamu wanasema wanaume wanaokabiliwa na matatizo ya kushindwa kutungisha mimba inaongezeka nchini, huku ikitajwa kuwa wagumu kukubali vipimo wakihofia aina ya upimaji na wenye mapokeo hasi ya majibu yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.