muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health.

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY Masters in Arts in monotoring and evaluation . Open university. Naombeni utofauti wa hizo kozi wadau.
  2. JanguKamaJangu

    Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito, watatu wenye kilo 100+ wamepata huduma kwa Sh milioni 3.5 hadi 4

    HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
  3. GENTAMYCINE

    Wafanyakazi Wasoma Mita wa Dawasco na Mgawo huu wa Maji DSM msipokuwa na Majibu ya Kinidhamu mtaishia ICU Muhimbili

    Mteja... Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco mbona Kwetu sasa Maji hayatoki Wiki Mbili? Mfanyakazi Dawsco.... Kwa Matajiri na Wakubwa Masaki sasa wana Mwezi wa Pili umesikia au kuona Wanalamika? Mteja..... Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco imekuwaje leo Kawe Maji mmeyafungulia Saa 1 Asubuhi na kuyakata...
  4. B

    RC Makalla atoa onyo eneo la Muhimbili hospitali mwisho leo kufanyika biashara

    29 October 2022 Dar es Salaam, Tanzania RC MAKALLA ATOA ONYO ENEO HILI LA MUHIMBILI HOSPITALI |MWISHO LEO KUFANYIKA BIASHARA Source : Dar es Salaam RS Digital More info : October 31, 2022 2 min read Na Heri Shaban, TimesMajira Online, Ilala RC Makala: Hospitali ya Muhimbili sehemu...
  5. JanguKamaJangu

    Watendaji Chuo cha Muhimbili watakiwa kujitathimini, wapewa miezi mitatu ya uangalizi

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Chuo cha kati Elimu ya Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUCOHAS) kujitathimini katika uwajibikaji wao na namna ya Uongozi unavyoendesha mambo yake. Prof. Makubi ameyasema hayo Oktoba 30, 2022 wakati alipokitembelea chuo...
  6. BARD AI

    Prof. Janabi apiga marufuku wagonjwa kusukumwa kwenye vitanda Muhimbili

    Ameagiza miili ya marehemu kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti kwa gari la wagonjwa (Ambulance), badala ya utaratibu uliokuwepo wa kusukuma vitanda ili kutoa heshima kwa marehemu kwa njia hiyo. Prof. Mohammed Janabi aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
  7. BARD AI

    Matibabu ya Kiharusi (Stroke) nchini hugharimu Tsh. Milioni 5-15

    Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu wenye miaka 40 na kuendelea. Akielezea utaratibu wa gharama za Matibabu ya Ugonjwa huo ambao mara...
  8. mwanamwana

    UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili. Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu. Aidha Rais...
  9. Sildenafil Citrate

    Muhimbili kuanzisha maabara ya kwanza nchini ya Upasuaji wa Sikio

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imesaini mkataba na Kampuni ya Medel kutoka nchini Austria wenye lengo la kuanzisha maabara ya kwanza ya aina yake Afrika Mashariki ili kufundisha na kuboresha upasuaji wa sikio kwa wataalamu wa ndani na nje ya nchi. Akisaini mkataba huo, Mkurugenzi Mtendaji wa...
  10. Mcqueenen

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuapply Masters Muhimbili

    Hello wakuu. Kuna mtu anataka kuapply masters muhimbili, lakini nmejaribu website yao ya application haifunguki. Kuna tatizo au deadline imeshapita?
  11. B

    Muhimbili, kulikuwa na haja gani ya upasuaji kutenganisha watoto mapacha?

    Kwamba pacha wa pili naye hatunaye? Inasikitisha. Kwani kulikuwa na haja gani ya operation hii? Kama uwezo wetu ungali hautoshi, kwa nini kujimwambafy bure juu ya maisha ya wengine? Kwanini tusingeomba usaidizi wa beberu kwenye masuala nyeti kama haya ya maisha ya watu? Kwa hakika Muhimbili...
  12. BARD AI

    Tetesi: Pierre Liquid amelazwa Muhimbili yuko hoi kitandani

    Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela wodi namba 6 iko ghorofa ya pili. Haijafahamika mpaka sasa mwama huyo wa kuzipiga Pombe na...
  13. Jamii Opportunities

    Operations Supervisor at Puma Energy – LPG

    LPG – Operations Supervisor Puma Energy Main Purpose: In collaboration with Finance Stocks Team and Business Support Supply section, we are looking for a high performing individual who will Manage and maintain inventory and supplies by receiving, storing and delivering items as required...
  14. bush crazy

    Hivi inawezekana kwa aliyesoma Chuo Kikuu Huria shahada ya kwanza na pili akafundisha UDSM, SUA, Muhimbili au UDOM?

    Naombeni muongozo wadau kabla ndugu yangu hajichanganya maana Ana GPA ya 4.4 anataka kusoma masters open ili aje apambanie u-assitant lectucter?
  15. JanguKamaJangu

    Waziri Ummy Mwalimu awatembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili, aelezea afya zao

    Waziri Ummy Mwalimu (kulia) akiwa na mama wa watoto pacha waliotenganishwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewatembelea Watoto pacha Rehema na Neema waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa na kusema wanaendelea vizuri. Aliwatembelea Julai 6, 2022 na kusema amefurahishwa na hali za maendeleo ya...
  16. Peter Madukwa

    Kuzuiwa kwa fomu 2c: Mapato ya mauzo ya dawa Muhimbili yaongezeka hadi billioni 14

    Kufuatia serikali kupitia wizara ya afya kuzuia matumizi ya fomu ya dawa namba 2C ya NHIF; Kwa mujibu wa waziri wa afya, mapato ya dawa ktk hospitali ya Taifa Muhimbili yameongezeka kutoka wastani wa billion 2-4 kwa mwaka hadi kufikia wastani wa billioni 10-14. Fomu 2C ya mfuko wa taifa wa bima...
  17. B

    Rais Samia atoa TZS Bilioni 600 Ujenzi wa Hospitali ya Muhimbili mpya

    KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI. KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa...
  18. JanguKamaJangu

    Muhimbili yasema upasuaji wa watoto pacha umefanyika kwa mafanikio

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza kuwa upasuaji wa kutenganisha watoto waliokuwa wameungana umefanyika kwa mafanikio. Watoto hao Rehema na Neema walikuwa wameungana kifuani na upasuaji huo umefanyika leo Julai Mosi, 2022 chini ya Wataalam wa Afya 31. Awali, Mtaalam wa Magonjwa ya...
  19. JanguKamaJangu

    Watoto pacha walioungana kufanyiwa upasuaji Muhimbili, leo Julai 1, 2022

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo inatarajia kuwafanyia upasuaji wa kuwatenganisha pacha walioungana kifuani. Upasuaji huo unakadiriwa kutumia saa saba na utafanywa na wataalamu wa afya 31 kutoka Tanzania na Ireland ambao wanatokea Shirika la Operation Child Life. Tanzania itakuwa nchi ya...
  20. Nyendo

    Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa kuwatenganisha mapacha walioungana

    Hospitali ya Taifa Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa July 1, 2022 unaotarajiwa kuchukua saa 6 hadi 7 wa kuwatenganisha Watoto mapacha wawili wenye umri wa miezi tisa waliozaliwa wakiwa wameungana sehemu ya kifua na tumbo na umbo la ndani wameungana ini ila kila Mtoto ana ili lake. Tanzania...
Back
Top Bottom