Nachelea kuita ONYO kwa CCM.
Angalizo hili linaweza likawa la mwisho yaani msipoangalia kuna dalili mbaya sana ambayo itawagharimu na kutikisa Afrika.
Kuendelea kukumbatia Katiba inayopigiwa kelele na wananchi kuwa haifai kwa mfumo wa siasa za vyama vingi, ni sawa na kulalia kitanda cha...
Kila mtu ana mipaka yake binafsi yaani kwa kimombo tungeweza sema personal boundaries, ikiwemo watoto. Kuelewa na kuheshimu mipaka hii ni muhimu sana kwa maendeleo ya watoto. Mipaka inaweza kuwawezesha watoto kujifunza kufanya maamuzi binafsi na sahihi, kujieleza, na kuwasiliana vizuri na...
He was a real man ambaye alipitia Jando la miaka yetu ile. Alikuwa na kifua kipana. Alikuwa na moyo imara. Alikuwa mstaarabu sana.
Lowasa alitendwa vibaya na mtu ambaye yeye ndiye aliyemjenga pale madarakani. Lowasa alikuwa na mengi moyoni kuhusiana na mambo mengi ambayo yalifanywa na kikwete...
Maisha ni mambo yote tunayofanya. Ni shughuli zote za uchumi na utafutaji wa fedha na mali, na kadhalika. Haya yote ni muhimu, na ni ya lazima kwa ukuaji na maendeleo ya mtu.
Lazima watu wafanye kazi, wazalishe, watengeneze na wauze. Wakabiliane na matatizo na changamoto. Waijenge dunia na...
Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike.
Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama...
Habari Zenu wadau, natumai mnaendelea kukaza na life popote mlipo. Swali langu ni Moja tu Tangu umeanza kuijua na kuitumia mitandao ya kijamii imekusaidia vipi kuunganisha na watu waliobadili maisha yako?.
Natamani kujua waliofanikiwa kupitia mitandao ya kijamii.
Sababu watu wa kada zote na...
Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto.
Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi .
1. Usalama wa...
Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake.
Katika mapambano ya awali, viongozi wa dini walishiriki japo si kwa uwazi sana.
Historia inaonesha kuwa viongozi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini - Viwanja vya Chinangali - Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2024
https://www.youtube.com/live/fB7fwptjOs4?si=vp7708g7DbUnq9CF
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
Kwa ujio wa Artificial Intelligence umuhimu wa kujifunza na kuwa na uelewa wa programmig na coding ni muhimu sana. Kuna ajira nyingi sana ambazo ni remote zipo mitandaoni zinazohitaji mtu mwenye uelewa wa kuandika code na kujua programming.
Nimeshuhudia vijana wa Kenya na wengineo huku Ulaya...
Kama mvua kubwa yoyote iliyopiga Mkoani kwako (uliko) haukuleta madhara yoyote mshukuru sana Mwenyezi Mungu.
Ila kwa sisi tulio eneo moja Mkoani Morogoro Mvua ya Jumamosi kuamkia Jumapili imeleta madhara makubwa mno kiasi kwamba wanavijiji Wenzetu kama 40 hivi na wana Taasisi Muhimu 11 bado...
Kwanza nawapongeza sana kwa kupitisha, kuratibu na kufanya maandamano yaliyotikisa nchi na kufikisha ujumbe masafa ya mbali. Hongereni sana.
Mtafanya makosa kama mtapoa. CCM wana akili sana katika mambo haya. Wanajifanya hawakuona maandamano hayo.
Kwa Sasa Kituo kinachofuata kiwe Mwanza. Na...
Mkutano wa 19 wa kilele wa Harakati ya Kutofungamana na Upande Wowote NAM umemalizika huku Mkutano wa 3 wa wakuu wa Nchi za Kusini ukitarajiwa kufanyika mjini Kampala, Uganda. Huu ni wakati mwingine muhimu unaomilikiwa na "Nchi ya Kusini" unaotengenezwa na bara la Afrika baada ya Misri na...
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo.
Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo...
Uko upande upi?
Binafsi nazikubali dawa muhimu kwa kuwa ni uhakika kupona unapozitumia, zimeundwa kwenye Right Proportion (Composition), pia wataalamu wamekaa maabara miaka na miaka kuzifanyia utafiti, ni rahisi kutumia n.k
Justice okoro, Mchungaji wa dhehebu la pentekoste, Zambia alisema;
Mimi nawapenda Wakatoliki kwa kiwango cha kutokujali maneno ya watu wanasema nini juu yao, Unaweza kukosoa kanisa lao, viongozi wao au imani yao, kadiri unavyoweza watakusikiliza hadi umalize, kisha wataenda kanisani Jumapili...
Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?
Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.