muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdul Said Naumanga

    Kesi muhimu katika ulinzi wa taarifa zetu binafsi

    Kati ya moja ya jiwe (case) muhimu kwako wewe kama mwanasheria ni hili, kesi hii iliyoamuliwa na Mahakama Kuu (MK) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sehemu sahihi ya kuwasilisha madai yanayohusiana na ulinzi wa wa taarifa binafsi nchini Tanzania. Kweny kesi hii...
  2. Ndata

    Bashe hana jipya zaidi ya Siasa kwenye Wizara muhimu

    Kwanza I have to declare interest mimi ni mkulima wa mazao ya biashara. Na kama mkulima wizara ya kilimo ndio mlezi wangu ila kwa uongozi wa Bashe nachelea kusema tutachelewa sana. Tanzania ilikuja na wazo la kufanya mchikichi kuwa zao la biashara, ilikuwa hatua nzuri kweli na Kigoma...
  3. Mto Songwe

    Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu? Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
  4. GENTAMYCINE

    Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

    1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi? 3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Kama kijana mtafutaji ni muhimu kujiunga na jumuiya mahali unapoishi

    KAMA KIJANA MTAFUTAJI NI MUHIMU KUJIUNGA NA JUMUIYA MAHALI UNAPOISHI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umeenda mbali na nyumbani, ni aidha kutafuta maisha au umepelekwa na serikali. Moja ya mambo muhimu kabisa ya kufuata ni pamoja na kujiunga na jumuiya za kijamii. Kama ni mkristo nenda...
  6. Christian K

    Je naweza kupata mkopo HESLB kwa kuweka barua ya kustaafu kwa mzazi

    kwa mfano Mimi niliomba mkopo mwaka jana nikakosa je ninapoomba tena mwaka huu nikaweka barua ya kustaafu ya mzazi ambaye amestaafu mwaka jana je ninaweza pata mkopo? ( Ngazi ya shahada )
  7. Shining Light

    Je, unajua mahali pa kuripoti ukifanyiwa uhalifu mtandaoni?

    Kuna muda serikali ilichukua hatua muhimu za kupambana na uonevu wa mtandaoni, udanganyifu, na wizi wa mtandaoni kupitia simu za mkononi. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Andrew Kundo, alitangaza hatua hizi: - Kuundwa kwa kamati ya kitaifa ya kudumu kushughulikia...
  8. Championship

    Kwanini wanawake wanaona shape ni jambo muhimu kwao wakati wanaume hawapendelei kuoa wa hivyo?

    Mara nyingi kwenye suala la kuoa wanaume tunaangalia tabia na mtazamo wa mwanamke na sio muonekano. Asilimia kubwa ya wanawake wenye maumbo ya kuvutia huwa tunawatamani lakini hatuwawazii sana kuwaoa na kuishi nao. Sasa ninashangaa ni kwanini mwanamke aende kujibadilisha umbo wakati hapo...
  9. JamiiCheck

    Uhakiki wa taarifa ni silaha muhimu ya kupambana na taarifa potofu

    Kuhakiki taarifa ni Silaha ya msingi katika kupambana na Usambaaji wa taarifa Potofu ndani na nje ya Mitandao Jamii inapojenga tabia ya kufanya uhakiki wa kila taarifa inayokutana nayo, itawawezesha kufanya Maamuzi Sahihi katika masuala mbalimbali yanatokea katika Jamii husika Je, wewe ni...
  10. Shining Light

    Lugha ya Ishara ni muhimu katika jamii

    Lugha ya Ishara ni lugha ya kuona ambayo hutumia mikono, mwili na mienendo ya uso kusiliana. Kuna zaidi ya lugha ya ishara 135 ulimwenguni kote, na karibu asilimia 20 ya idadi ya watu duniani wana ulemavu wa kusikia. Hivyo, watu wengi wanahitaji kutumia lugha ya ishara kama njia ya mawasiliano...
  11. Gulio Tanzania

    Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
  12. ndege JOHN

    Mwanamke muhimu sana anakubadilisha ndani ya masaa 24

    Binafsi niliachana na mpenzi wangu niliyeishi naye Kwa zaidi ya miaka mitatu na tuliachana baada ya mikwaruzano mwaka Jana June. Kiukweli maisha niliyoishi ni mabaya Sana bila mwanamke yaani ghetto Lili Kuwa full chafu utandu wa buibui mixer kukaribia kuunguza nyumba ya watu kwamba jiko LA gas...
  13. Nehemia Kilave

    Haya ni mambo muhimu kuyaelewa pindi unapopata ugonjwa sugu

    Habari JF, nimeandika kuandika haya ili kuzuia madhara yatokanayo na ufuatiliaji duni wa magonjwa sugu. Kitu cha kwanza kabisa ukipatikana na ugonjwa sugu wowote iwe Sukari ,Presha ,HIV-UKIMWI , Lupus ,Seli Mundu - sickle cell disease , Rheumatoid ...etc lazima uielewe shida ulionayo na...
  14. Mr George Francis

    Muhimu kabla ya vyote ijue size ya mpenzi wako

    Dear men, Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake. Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake. Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo mengine kadha wa kadha. Muhimu sana kuwa makini na mazungumzo yake. Lugha yake kama ni ya staha au...
  15. Tate Mkuu

    Kanuni 10 muhimu za kukusaidia na kukulinda mwanaume unapochepuka na mke wa mtu

    Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume. Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:- 1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye. 2...
  16. BARD AI

    Maswali muhimu ya kumuuliza Mpenzi wako kabla hamjafikia hatua ya kuoana

    Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo. Ulipaji Bili zetu utakuwaje? Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje? Una madeni yoyote na yanalipwaje? Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
  17. L

    BRICS ina nafasi muhimu katika usimamizi wa dunia

    Watu wengi wamekuwa wakiifananisha BRICS na NATO, kitu ambacho si sahihi kabisa. Tofauti na NATO, BRICS haina makao makuu, na pia haina uhusiano na makubaliano ya kijeshi, badala yake, kundi hilo linajihusisha zaidi na masuala ya kiuchumi. Kundi hili la BRICS linaunganisha juhudi za nchi...
  18. Pang Fung Mi

    Ma EX wake hawanihusu muhimu kwangu ni nafasi na muda wa kutosha wa kuwa naye

    Nimevuka mitihani ya stress za mapenzi, sasa moyo wangu ni wa jiwe wenye kuwafaa wanawake wote, hivyo basi mwanamke yeyote sina muda wa kufuatilia nyendo zake wala kukagua simu wala maswali, muhimu ni nafasi na muda wa kutosha wa kumnyandua basi. Hii hali imeongeza utamu na ladha wakati wa...
  19. K

    Umeme ni kitu muhimu katika taifa lolote

    Umeme ni ajira umeme ni uchumi umeme ni maisha. Kwa sasa mitaji inakatika, tunaomba viongizi wa serikali wapate uchungu na sisi tunaoupata kutokana Ili tatizo la kukatika Kwa umeme.
  20. Ghost MVP

    Je, Umemchoka Mpenzi wako au mahusiano? jifunze hapa

    Kuchoka ktk uhusiano huonekana kwa mtu kujitenga au kumuepuka mwenzi wake kwa sababu mbalimbali. Baada ya muda, mtu anaweza kujitenga kwa ufahamu au kwa makusudi kutokana na hisia za kutojali na kukosewa jambo katika uhusiano. Ingawa hii inaweza kuathiri sana mahusiano, kuna mambo hufanya ili...
Back
Top Bottom