Unajua kwanini ni muhimu sana kufanya Meditation.!

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Shalom Wapendwa.

Katika kutafuta utulivu wowote wa kile ambacho unacho na kile ambacho hauna unashauriwa kufanya kitu inaitwa Meditation.

Binadamu wengi wanasumbuliwa na Attachment katika mambo mbali mbali , hivyo kupelekea kuumia ndani kwa ndani .

Attachment - ni kushikiria Vitu au WATU.

Mfano unapokuwa na attachment na vitu utaanza kuona vitu ni sehemu ya maisha yako na ikitokea umepoteza hivyo vitu au hivyo vitu kuharibika , utapata maumivu makubwa Sana ya kiakili, kihisia mpaka kimwili.

Mfano ukiwa upo na attachment ya VITU , siku ukiamka ukakuta gari lako limeibiwa matairi unaweza ukapata depression (Sonona) kwa kuumia Sana .

Au siku mwanamke au Mme wako akienda kinyume na vile ulitarajia unaweza kuwa na stress na kuanza kuumia ndani kwa ndani, kuumia ni kawaida Ila kuteseka day to day ni issue ya akili zaidi , feel the pain but don't suffer with pains hii mara nyingi hutokea baada ya kuweka attachment kwa MTU au katika VITU.

Kwanini ni muhimu kujiondoa katika Attachment ?.

- Unapokuwa haupo katika attachment na vitu au MTU ndo unakuwa unafurahia zaidi hivyo vitu na unamfurahia zaidi huyo MTU kwakuwa anakuwa hayupo sehemu ya uhai wako bali anakuwa nje yako so doesn't matter what will happen Ila hautateseka kwa kumpoteza MTU au vitu.

-Hivyo ili uifikie hii hatua ya kuishi bila kufungamana na vitu unabidi kufanya meditation Mara kwa Mara .

Lengo la kuishi kwa utoshelevu wa nafsi na furaha ya Asili unabidi kuwa Shahidi wa mambo yote yanayotokea katika maisha yako na sio kufungamana nayo.

Mediation itakupa detachment na utajua kuwa wewe sio gari, wewe sio nyumba , wewe sio hizo devices , wewe sio huo mwili wala hayo magonjwa.

Vitu au watu vinabidi kukufanya wewe uishi kwa kuyarahisisha MAISHA yako na sio kuumia kwa kuvikosa au kuvipoteza.

Na ikitokea umepoteza kitu au watu usilalamike .

Kwakuwa kupoteza ni njia ya kupata hivyo unapolalamika na kuwa na low vibration zitakupelekea ku-attract vitu amabvyo havina ubora wa kama vile ulivyopoteza.

Mkono ambao umejaa huwa haupokei chochote. So once umepoteza kitu au MTU , Shukuru wala usilalamike utapata tena

So Mediation is best therapy for mental health na Mwili pili .

Detachment is key .
1743100367921.jpg
 
Hapo ni kujipa furaha fake
Pesa na mali ndo furaha ya kweli, ukivikosa hivi Dunia utaiona chungu
Ukiumwa utatumika pesa sio meditation
Mtoto shule anataka ada sio meditation
Mchepuko unataka pesa sio meditation bar wanataka pesa sio meditation
 
Shalom Wapendwa.

Katika kutafuta utulivu wowote wa kile ambacho unacho na kile ambacho hauna unashauriwa kufanya kitu inaitwa Meditation.

Binadamu wengi wanasumbuliwa na Attachment katika mambo mbali mbali , hivyo kupelekea kuumia ndani kwa ndani .

Attachment - ni kushikiria Vitu au WATU.

Mfano unapokuwa na attachment na vitu utaanza kuona vitu ni sehemu ya maisha yako na ikitokea umepoteza hivyo vitu au hivyo vitu kuharibika , utapata maumivu makubwa Sana ya kiakili, kihisia mpaka kimwili.

Mfano ukiwa upo na attachment ya VITU , siku ukiamka ukakuta gari lako limeibiwa matairi unaweza ukapata depression (Sonona) kwa kuumia Sana .

Au siku mwanamke au Mme wako akienda kinyume na vile ulitarajia unaweza kuwa na stress na kuanza kuumia ndani kwa ndani, kuumia ni kawaida Ila kuteseka day to day ni issue ya akili zaidi , feel the pain but don't suffer with pains hii mara nyingi hutokea baada ya kuweka attachment kwa MTU au katika VITU.

Kwanini ni muhimu kujiondoa katika Attachment ?.

- Unapokuwa haupo katika attachment na vitu au MTU ndo unakuwa unafurahia zaidi hivyo vitu na unamfurahia zaidi huyo MTU kwakuwa anakuwa hayupo sehemu ya uhai wako bali anakuwa nje yako so doesn't matter what will happen Ila hautateseka kwa kumpoteza MTU au vitu.

-Hivyo ili uifikie hii hatua ya kuishi bila kufungamana na vitu unabidi kufanya meditation Mara kwa Mara .

Lengo la kuishi kwa utoshelevu wa nafsi na furaha ya Asili unabidi kuwa Shahidi wa mambo yote yanayotokea katika maisha yako na sio kufungamana nayo.

Mediation itakupa detachment na utajua kuwa wewe sio gari, wewe sio nyumba , wewe sio hizo devices , wewe sio huo mwili wala hayo magonjwa.

Vitu au watu vinabidi kukufanya wewe uishi kwa kuyarahisisha MAISHA yako na sio kuumia kwa kuvikosa au kuvipoteza.

Na ikitokea umepoteza kitu au watu usilalamike .

Kwakuwa kupoteza ni njia ya kupata hivyo unapolalamika na kuwa na low vibration zitakupelekea ku-attract vitu amabvyo havina ubora wa kama vile ulivyopoteza.

Mkono ambao umejaa huwa haupokei chochote. So once umepoteza kitu au MTU , Shukuru wala usilalamike utapata tena

So Mediation is best therapy for mental health na Mwili pili .

Detachment is key .View attachment 3291526
Uzi Bora Kabisa 👏👏
 
Back
Top Bottom