Unajua kwanini ni muhimu sana kufanya Meditation.!

Unajua kwanini ni muhimu sana kufanya Meditation.!

Hapo ni kujipa furaha fake
Pesa na mali ndo furaha ya kweli, ukivikosa hivi Dunia utaiona chungu
Ukiumwa utatumika pesa sio meditation
Mtoto shule anataka ada sio meditation
Mchepuko unataka pesa sio meditation bar wanataka pesa sio meditation
Sijui Kama umeuelewa Uzi

Kuna utofauti wa drive and driven
 
umetumia nguvu kubwa sana kuielezea dhana yako ambayo in islam ina kuwa practised daily kwa vitendo(swalaa) na maombi ya kuondolewa hio hali ya attachments.( qanaatul qalbi) . kutosheka kwa moyo. ukiondelewaa qinaa utakua maisha yako unaona mali au watoto ndio kia kitu.
 
Back
Top Bottom