Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya
1. Tumia condom
2. Tumia condom
3. Tumia condom
Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP.
Ila lazima wakupime kwanza damu kabla hujapewa dawa.
Wakuu tutunze afya zetu.
Afya ndio mtaji namba moja.