ni sawa tu ila sio rahisi kihivyo kama ww unavosema apa. na kuna wengi tu wameoa na bado wanafanya ngono rejareja.usishiriki kabisa, ukiona unashindwa kujizuia oa, mbona watoto wazuri wapo tena watulivu kabisa?
sawa, sasa wew jichanganye, utakuja kufungua uzi wako apaSi tumekubaliana kuwa ukimwi umeshatokomezwa jamani? Tusitshane mbunye zichakatwe ziko kwa ajili yetu.
usijizile ivo mkuu ndom ndo mpango mzima mkuu. kama umeenda bila ndom na usiyemwamini jisalimishe haraka upate dawa saidizi za kukinga maambukiziWatu siku hizi wanapiga mabusu kuanzia kitovuni kwenda chini, sasa condoms zitasaidia nini?
Siyo rahisi ki hivyosawa, sasa wew jichanganye, utakuja kufungua uzi wako apa
kama haujui baadhi ya waovu wabobezi wamefichwa umo kwenye izo imaniHuu mwezi wakristu tunafunga, waislam wanagunga, wewe ndugu ni dini gani unawanza ngono?
yeah hizi zimeletwa kwa ajili yetuNdo wazo limekujia baada ya kuanza kumeza PEP! anyway pole sana mwanetu 😜
icho kidudu ndo mpango mzima
mkuu umemaliza kila kituHayaonekani. Ndo maana wakikupima ngoma ikasoma maana yake ulishakuwa na maambukizi mengine tu kwa angalau miezi 3 iliyopita. Kipimo hakifanyi isolation ya kirusi, bali response ya mwili kufuatia maambukizi, yaani antibodies.
Lengo la kukupima kabla ya kukupa dawa ni kujua kama huna maambukizi yasiyoweza kuponyeka wakunusuru na uwezekano wa maambukizi mapya yaliyotokana na ngono zembe uliyofanya hivi karibuni.
Matibabu hayo (post exposure prophylaxis) yanafanya kazi kama tu uko ndani ya siku 3 au saa 72 tangu umefanya ngono zembe yaani kabla kirusi hakijaingia ndani ya seli za mwili wako kikaanza kuzaliana. Ukichelewa hapo, wewe piga tu goti Mungu aingilie kati akunusuru kimiujiza.