muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghost MVP

    Bima ya Afya kwa Wazee ni Muhimu sana tuwanze wazee wetu

    Kuna asilimia kubwa ya wazee ambao hawana vyanzo vya pesa wala uwezo wa kujigharamia matibabu, na Hawana msaada kabisa Bima ya kwa wazee izingatiwe. Serikali ihakikishe hawa wazee wasio na uwezo wanapata matibabu vema, na sio kauli vivuli kwasababu wanahitaj sana hili. Tuwape upendo wazee wetu,
  2. Aliko Musa

    Dondoo Muhimu Kuhusu Upimaji Wa Shamba/Kiwanja Chako Hapa Tanzania

    Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani zinazo tayarishwa ni hatua za kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi kwa...
  3. Jimz Group

    🔒 Backups ni Muhimu: Jipatie Flash Drives kwa Jumla na Reja Reja!

    Katika enzi ya teknolojia, ulinzi na usalama wa data zako ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Picha, nyaraka muhimu, na mafaili ya kazini vyote vinahitaji kutunzwa na vizuri kuwa na backup. Na USB Flash Drive, inakupa suluhisho unalolihitaji. 📁 Nafasi Kubwa ya Hifadhi: Hifadhi picha, video, na...
  4. Nyafwili

    Heartbreak 💔. Upendo Wetu Ni Muhimu 💕

    "Ingawa mioyo yetu inapitia maporomoko. 💔➡️❤️ [" #UpendoWetuNiMuhimu"] , Lakini Kuna Siku ambazo moyo unahisi uzito wa yale yote unayo yapitia katika maisha, iwe katika utafutaji wa kifedha, misukosuko ya kimapenzi au kifamilia, kumcha mungu katika ibada. [ #SikuKwaSikuJourney ] • Je, wewe...
  5. Venus Star

    Uhuru wa vyombo vya habari ni mojawapo ya nguzo muhimu za Demokrasia

    Kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari. Uhuru wa vyombo vya habari ni mojawapo ya nguzo muhimu za demokrasia. Rais Samia ameonyesha nia ya kuimarisha mazingira ambayo vyombo vya habari vinaweza kufanya kazi kwa uhuru zaidi. Hii ni hatua kuelekea kukuza uwazi na uwajibikaji. === Mambo makuu...
  6. GENTAMYCINE

    Nashauri kufungwe kamera katika Miundombinu muhimu ili wanaoiharibu walipe faini au waishie jela

    Kuna mpuuzi mmoja sasa ni wiki katoka kulewa zake Mbezi Beach Tangi Bovu (jirani na kwa Bujibuji Simba Nyamaume) na akawasha gari yake na kuiendesha spidi na kizembe kabisa akaja kugonga moja ya kingo za Daraja muhimu la Bondeni Kawe na ikabakia kiduchu tu gari lake litumbukie mtoni na...
  7. AnyWayZ

    Tambua kisha Thamini watu wa karibu na wa muhimu zaidi msimu huu.

    Mzuka wana jf, Ahsanteni kwa hivi vimaua vyeupe mfano wa falling snow vimenishawishi kutupia bandiko. Huu ndo ule msimu utatamani ujigawe mara kadhaa hautoweza... Huu ndo ule msimu utajua unawaganda rafiki wenye rafiki zao hapa mjini..... Huu ndo ule msimu utachagua kubaki town ule bata na...
  8. LIKUD

    Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

    Akisha vunja ungo she will become a stranger to you. Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka 10-12 au ni nini hiki? Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku...
  9. chibe dayo

    Ushauri wenu ni muhimu kwangu tafadhali

    Mimi ni mgeni humu JF naomba ushauri kama kijana wa kiume mwenye kuifikiria kesho yake iliyo bora Nilimalza kidato cha sita mwaka 2021 sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi hazikua nzuri hivyo niliomba kazi katika supermarket x na kupata. Sasa ni mwaka wa 2 nafanya kazi lakini suala...
  10. Dra Maxie

    Kutengeneza nyumba kama hii inagharimu kiasi gani?

    Nauliza kutengeneza kma haka ni inagharimu kiasi gani?
  11. L

    Upimaji wa ardhi ya makazi ni muhimu Ili kuepusha majanga

    Ni vyema vijiji vipimwe na kufanyiwa tathimini kama ardhi yake inafaa Kwa makazi na shughuli za kibinadamu,Kuna baadhi ya maeneo watu wanaishi kwenye mabonde au karibu na Kingo za mito,Kuna maeneo ambayo kimsingi hayafai Kwa ajili ya makazi lakini mamlaka zipo kimya.Tusingojee mpaka majanga...
  12. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoenda safari ndefu na gari lako

    Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva kutokuzingatia kanuni muhimu katika utumiaji wa vyombo vya usafiri. Ili kuhakikisha usalama wako pamoja...
  13. D

    Wishing you a blessed Advent Season

    As we begin the Advent season, we think of those brothers and sisters confronted with war and violence. We prepared a report for you focusing on the situation of the small Christian minority living in the Holy Land. In addition, watch Pope Francis' moving meeting with Israeli and Palestinian...
  14. TAI DUME

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    UTANGULIZI Wakuu habari. Naandika hii story yangu ikiwa ni mwaka sasa nipo mtaani nikiendelea na harakati za kusaka ajira mpya toka mkataba wangu wa ajira ulipoisha mnamo Desemba 2022. Nimeamua kushea uzoefu wangu kwa mtindo wa Masimulizi (katika episodes) kwa kuamini pengine inaweza kuwa na...
  15. C

    Tunaposema kuwa mechi zetu muhimu ni za Dar tu kwahiyo zote za ugenini tunaenda kugawa points za bure?

    Na nakumbuka msemaji wenu Ali Kamwe na hata mashabiki wenu oya oya kabla hamjaenda kuzichezea 3 kwa 0 kwa CR Belzoud FC walisema na nukuu zipo kuwa wao namaanisha Yanga sc ndiyo mabingwa wa kushinda mechi za ugenini tofauti na timu nyingine ikilengwa simba sc ambayo haina rekodi hiyo kivile japo...
  16. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoitwa kwenye Usaili wa Kazi

    Fahamu mambo ya kuzingatia wakati unapoitwa kwa ajili ya Interview: 1. Fanya Utafiti kuhusu Kampuni iliyokuita kwa kufahamu Huduma na Maono yake ili majibu yako yalingane na malengo ya Kampuni 2. Elewa vizuri Majukumu ya nafasi uliyoiomba yaani (Job discription) ili uwe tayari kujadili jinsi...
  17. L

    Madaktari wa China waendelea kuwa sehemu muhimu ya mkakati wa Afya wa Tanzania

    Mwezi Oktoba mwaka huu timu ya madaktari bingwa 11 kutoka China iliwasili mkoani Kigoma, ambako ilitoa huduma za matibabu kwa wenyeji wa huko kwa muda wa siku tano, ikiwa ni pamoja na huduma za ushauri wa kimatibabu na upasuaji. Balozi wa China nchini Tanzania Bibi Chen Mingjian aliyehudhuria...
  18. Jumanne Mwita

    Hata kama unajua ni muhimu kujikumbushia nakuletea - basic driving test

    BASIC DRIVING TEST 1. Taja makundi ya alama za barabarani 2. Taja maeneo ambayo dereva haruhusiwi kuegesha gari 3. Chora mchoro wa alama ya onyo/Tahadhari ikionyesha watu wenye mtindio wa akili wapo eneo hili. 4. Taja matumizi ya taa za barabarani pia eleza kazi ya kila rangi ya...
  19. BARD AI

    Mambo gani muhimu ya Kumfundisha Mtoto mapema kabla hajawa nunda?

    Ukiwa Mzazi bila shaka unabeba jukumu kubwa la malezi na jinsi unataka kumshape mwanao. Ni mambo gani unahakikisha mwanao anayajua mapema?
  20. J

    Je, ulipata kuyapitia mambo muhimu yaliyoandikwa kwenye Hamas Charter ya 1988?

    UTANGULIZI Unasisitiza kuwa Kuingamiza Israel ni Jukumu la Uislam ARTICLE 11 Ardhi ya Palestine ni Mali Takatifu kwa Waislam; Kwa wale msiojua kiini cha Dai hili ni UONGO ULIOFANYIZWA NA WAISLAM KUWA AL-AQSA MOSQUE NI ENEO TAKATIFU AMBAPO MTUME MOHAMMAD ALIPAA KWENDA MBINGUNI. Huu ni Uongo kwa...
Back
Top Bottom