Sisi mashabiki hatujui ukubwa wa tatizo lilisababisha Kapteni wa Yanga, Mwamnyeto kushindwa kwenda Rwanda kwenye mechi muhimu saaaaana kwa timu ya Yanga dhidi ya Al-Merreikh. Kama mchezaji kiongozi wa timu mechi hii haikuwa ya kukosa kwasababu hafifu hafifu tu na dhaifu.
Vitu pekee ambavyo...
Mimi sio mtu wa mchezo wa masumbwi ila nimelazimika kufuatilia huu mzozo kati ya Mwakinyo na mapromota na kujikuta nimejua mambo kadhaa kuhusu mchezo huo. Na baada ya wengi wenu kunisihi nitoe maoni yangu kuhusu hili sakata nimeona acha nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Na...
Yalinikuta !, Niliahirisha kwenda interview niliyoisaka kea muda ili nile tunda
Nakumbuka kuna kipindi wakati natafuta kazi kuna sehemu nilii apply na kweli nikapigiwa simu kwamba siku ya jumatatu niende, nikatumiwa pdf ikaonesha nafasi niliyoomba inabidi nifike saa nane mchana
Siku ya ijumaa...
Ninafikiri lengo lilikuwa kuhakikisha hotuba ya Rais inasikilizwa na kuwafikia wananchi wengi. Mtazamo wangu ninaona hata kwa siku ya leo hawa watawala + tanesco wangefanya uungwani kuwaachia umeme wananchia hasa masikini wasiokuwa na uwezo wa kununua solar na generator. Na kwa kufanya hivyo...
Kuna vitu vitatu: Ubongo, Mishipa ya fahamu na Uti wa mgongo. Vitu hivi vinafanya kazi bega kwa bega na kwa kutegemeana sana, Kitu kimoja kati ya hivo kikipata shida basi mfumo mzima unavurugika na hapo ndipo magonjwa yanaanza kujitokeza, mara nyingi ni magonjwa yanayohusiana na uti wa mgongo...
MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania.
Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa...
Umoja wa Afrika umekuwa mwanachama rasmi wa kundi la G20, baada ya kilio chake cha muda mrefu cha kutaka kuwa na sauti kwenye majukwaa ya kisiasa na uchumi ya kimataifa. Tangu kundi hilo lilipoanzishwa mwaka 1999, likiwa na nchi wanachama 19 + Umoja wa Ulaya, wakati wote mambo yanayohusu mambo...
Katika miaka ya hivi karibuni hali ya usalama katika baadhi ya maeneo ya Afrika imekuwa na utatanishi, na utulivu uliokuwepo kwa miongo miwili au mitatu iliyopita, sasa unaonekana kuwa mashakani. Iwe ni mgogoro unaondelea nchini Sudan pamoja na ule wa jirani yake Sudan Kusini, au wimbi jipya la...
Hivi karibuni, Japan ilianza kumwaga maji taka ya nyuklia baharini kutokea kituo cha nyuklia cha Fukushima. Hatua hii ya Japan imelalamikiwa sana na Wajapan wenyewe pamoja na jamii ya kimataifa, lakini serikali ya Japan imeamua kuziba masikio na kuendelea na kitendo hicho ambacho ni hatari si tu...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
Yes, Pesa sio kila kitu, ni mpaka ikosekane kabisa ndio kila kitu ila ukiwa nayo hata kiasi sio kila kitu. Najua kuna msemo siku hizi kila mara "Tafuta Pesa" ila ukichunguza ni athari za watu walioishi katika umaskini tangu wadogo hivyo kisaikolojia wanaamini pesa ni kila kitu, siwezi kuwalaumu...
Kama mada inavyojieleza hapo juu na kama waswahili wasemavyo wa kushiba huonekana mezani, awamu hii tofauti sana na hali ilivyokuwa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015, sijaona viashiria vingi muhimu vinavyotoa matumaini ya ccm kuanguka katika uchaguzi unaokuja.
Mwaka 2015 kulikuwa na vuguvugu...
Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima.
Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari
Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
bandari
bandari.
baraza la maaskofu tanzania
dp world
hekima
hii
juma
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kuelekea
kukataa
kusoma
kuweka
lazima
maandamano
maaskofu
makini
mama samia
mauaji
mawazo
misimamo
mkataba
mkataba wa bandari
mkono
muhimu
mungu
pamoja
pili
roman
rwanda
samia
sauti
serikali
siku
tamko
tanzania
tec
tunahitaji
uuzwaji
waraka
waraka wa tec
wengi
Haya yatakusaidia maana kuna watu yamewahi kuwakuta wakajikuta wanatamani Dunia iwameze.
1. Ukiwa ugenini kama ni hivi vyoo vya kisasa kabla hujaanza jisaidia angalia kama kuna maji kwanza. Usifike tu na kuanza shusha mzigo. Utakuja jilaumu baada ya kumaliza.
Njemba alienda ukweni akagonga...
Leo hii timu ya mpira wa miguu ya Hispania imeshinda kombe la dunia la wanawake mjini Sidney nchini Australia baada ya kuifunga timu ya Uingereza goli 1-0.
Goli la Hispania lilifungwa na Olga Carmona baada ya kupewa pasi maridhawa na Mariona Caldentey. Hispania wamecheza mchezo kabambe khasa wa...
Maelewano na mshikamano ni Priceless - Kwahio chochote kile hata kama kina faida kiasi gani za kifedha hakiwezi kuziba pengo litakaloweza kuachwa na Jamii kutokuelewana....
Mfano kuna Wadau walienda vijijini kuwajengea watu nyumba za Kisasa kwa gharama kubwa na zingekuwa faida sana kwao (mwisho...
Kesho ni siku kubwa sana kwa sisi waamini..kwa kweli hata sisi wavivu wa kusali tumehamsika.
Kupalizwa mbinguni bikira maria siyo jambo dogo huku pembeni kuna waraka wa DPW.
Ebana eee kesho mapemaaaa misa ya kwanza kabisa afu seat ya mbele karibu na baba paroko.