muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    Meseji Muhimu kuhu Makonda ambayo ilichukuliwa kirahisi japo Rais akaielewa

    Hii ilikuwa ni message kubwa sana, ila hadi leo imechukuliwa kirahisi. JPM aliielewa vizuri ndiyo maana akamwambie akachukue form ya ubunge, halafu akammwaga mazima, huku Ole Sendeka, Mrisho Gambo na Pastory Katambi wakipeta tena kwa mbeleko ya refa
  2. G

    Wazanzibari bado ni wachache kwenye vyeo muhimu Tanzania, waongezwe wafike at least 30%

    Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10. Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45 Mawaziri wapo wachache Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4 nitoe pongezi...
  3. Idugunde

    Idugunde wa Igunga: ujumbe muhimu kwa wanaYanga toka kwa Halima Mdee.

    Mpira uko hivi
  4. M

    Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Hivi kweli hawa wahamasishaji wanataka mambo yote katika kuanza na kufanikisha Biashara? Naamana yote? Mimi niache kwanza nijifunze kwako! Karibu!
  5. Mzee wa Code

    Maisha ya Kijiji cha kiboriani ni ya ajabu, huduma zote muhimu ni changamoto kupatikana

    Kijiji cha Kibodiani kilichopo Wilayani Mpwapwa, Dodoma ni mfano wa Jamii nyingi zinazokabiliwa na changamoto kubwa za kijamii. Wakazi wa kijiji hiki wanapitia matatizo mengi yanayohusiana na ukosefu wa huduma za msingi kama Elimu, afya, umeme na maji safi na salama. Hali hii inawaathiri kwa...
  6. milele amina

    DOKEZO LATRA: Tahadhari Muhimu kuhusu Mabasi ya Kampuni ya Kimotco

    Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika, Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni muhimu kutambua kwamba ukosefu wa ufuatiliaji wa mabasi haya unaweza kuleta matokeo mabaya sana, ikiwa ni...
  7. Tlaatlaah

    UREMBO, UTANASHATI NA USAFI WA KINA KATIKA MAPENZI IWE NI LAZIMA SIO KWA NJE TU, BALI NI MUHIMU SANA KWA NDANI PIA, NA INAPENDEZA ZAIDI.

    Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi. Mpenzi akichojoa mavazi yake, marashi husalia kwenye nguo zake, akiwa yeye sasa kama alivyozaliwa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  9. dgombusi

    Je, ni kweli maarifa ya muhimu ndiyo yanayobaki baada ya kusahau unachojifunza shuleni?

    “ Elimu ni kile kinachobaki baada ya mtu kusahau kila alichojifunza shuleni.” Hii ni nukuu maarufu ya Albert Einstein, ikimaanisha kwamba elimu ya kweli siyo tu kukariri au kujifunza mambo kihafidhina, bali ni uwezo wa kutumia maarifa, mantiki, na uelewa ambao mtu anapata kupitia elimu rasmi au...
  10. Miss Zomboko

    Ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni

    Mwezi wa Uhamasishaji wa Usalama wa Mtandaoni si kwa watu binafsi tu—pia ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni. Mashambulizi ya kimtandao kwa biashara yanaweza kuwa na madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na wizi wa data, athari za kisheria...
  11. Lugano Edom

    Kipi ni muhimu kwenye biashara

    JAMBO GANI NI MUHIMU KUZINGATIA KWENYE BIASHARA NDUGU WADAU?
  12. Nehemia Kilave

    CCM watatoka madarakani kwa njia ya kura ni muhimu kujiandikisha na kupiga kura

    Kauli za wapinzani kuimba CCM wanaiba kura au hawezi toka kupitia boksi la kura hazina Afya kabisa .Muitikio wa kujiandikisha umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya maeneo . CCM wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha kila mwanaCCM anajiandikisha kupiga kura , Upinzani unatumia nguvu kubwa kuaminisha...
  13. U

    Jeshi Israel lamnasa kamanda Hezbollah alijificha handakini chini ardhini lenye silaha na mahitaji muhimu, apelekwa Israel kuhojiwa

    Wadau hamjamboni nyote? Shughuli inaendelea huko Lebanon Gaidi anaswa live chini ya ardhi huko Lebanon, apelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya mahojiano Mungu ibariki Israel Taarifa zaidi kwa kimombo hapo chini: October 13, 2024 IDF troops capture Hezbollah fighter in underground bunker...
  14. GENTAMYCINE

    Ombi langu Muhimu kwa Waandaji wa Siku ya Mwalimu Nyerere kwa kuanzia mwakani 2025

    Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwani naona kwa yanayofanyika sasa siyo Kumuenzi bali ni Kumsanifu...
  15. G

    Profit ni kitu muhimu sana kwenye kuamua biashara ya kufanya, ukiwa na mtaji mdogo epukana na biashara zenye faida chini ya 10%

    Hii inawhusu zaidi ambao huiga biashara bila kutafakari kwa kina, Ni muhimu sana kufuatilia asilimia ya profitability Huwezi kuwa na mtaji wa milioni 1 uanze kufanya biashara yenye faida ya 5% Utachelewa sana
  16. Waufukweni

    Kenya: Naibu Rais Rigathi Gachagua Aomba Rais Ruto Amsamehe

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
  17. L

    Polisi: Msamaha wa kutoshtakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume cha sheria walioanza kusalimisha silaha kuanzia Sept 1 - Okt 31

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa rasmi kuhusu operesheni mbalimbali zilizofanyika katika kipindi cha hivi karibuni. Taarifa hiyo inatoa muhtasari wa hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo katika kudhibiti uhalifu na kuhakikisha usalama wa raia. Katika taarifa hiyo, Jeshi la Polisi...
  18. D

    Swali muhimu la kibaiolojia

    Hivi mpaka mtu anafika uzee, anakuwa ametoa wastani wa kilo au gunia ngapi za haja kubwa?!! Elimu yenu tafadhali
  19. MSAGA SUMU

    Yule mzee wa IOC kuna kitu muhimu alìongea ambacho hata Chadema walitakiwa kusupport

    Naam ndg zangu katika Imaaan. Japo kuwa alionekana kama mtu wa ajabu lakini gwiji ĺile la siasa za Chadema alisema masaa machache tu baada ya Zanzibar kusaini mktaba wa kujiunga na IOC ,waarabu wataanza kumwaga matrilioni ya shilingi tayari kuanza ujenzi mpya wa bandari kubwa duniani ambayo...
  20. Mr No fair

    Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha zifuate

    Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha Kufanikiwa kiuchumi kunahitaji mchanganyiko wa mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mipango, ujuzi, na mtazamo sahihi. Hapa kuna baadhi ya hatua muhimu ambazo unaweza kuchukua: ### 1. Elimu na Ujuzi: Elimu ya juu: Ingawa si lazima kwa kila...
Back
Top Bottom