muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    KERO Muda wa kulipia ukifika, LATRA imtumie muhusika wa gari control number ya kulipia deni

    Kama sheria inavyotamka kila mwenye gari kubwa iwe ni bus au lori anatakiwa awe amelipia gharama ya Latra. Kwa uchungu kabisa kulipia Latra kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mfano unatakiwa uende kwa vehicle inspector akague gari lako na ulipe gharama inayotakiwa. Pili unatakiwa ulete bima...
  2. U

    Karibuni sana kwenye makambi Kanisa la Waadvetista Wasabato Salasala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Kwa furaha kubwa nawajulisha kuanza Kwa makambi hapa Kanisa la Waadvetista Wasabato salasala Nyote mnakaribishwa sana Vipindi vizuri vyenye kutoa elimu zote za kiroho na kidunia pia Kwaya za kutosha zitahudumu Usipange kukosa mtu wa Mungu Mtaarifu mwenzako Mungu...
  3. T14 Armata

    Shule zenye ubora ni gharama lakini muhimu sana

    Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe. Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level. Kuna kundi la wazazi wavivu, sizitaki mbichi hizi na wazembe wa majukumu hasa wakiongozwa na chairman...
  4. G

    Naomba kujua mgogoro wa Ngorongoro maana mbuga ni muhimu haiwezi kuhamishwa Ila ndugu zetu nao muhimu pia

    Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
  5. GENTAMYCINE

    Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  6. Foffana

    ALAMA MUHIMU ZA KUTAMBUA NOTI HALALI

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee It's me Foffana Mama Samiaaaaa Mi5 tenaaaaaa
  7. Tlaatlaah

    Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

    kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe... ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?.. Je, ni kitu...
  8. I

    Ukraine yaharibu daraja muhimu ndani ya Russia.

    Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi. Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na mji wa Glushkovo imekata sehemu ya wilaya ya eneo hilo. Daraja hilo lilitumiwa na Kremlin kusambaza...
  9. Hismastersvoice

    Swali muhimu kwa Jamila Mbaruku wa TRC kuhusu ukaguzi wa tiketi

    Nilikuona kwenye kituo kimoja cha runinga nchini ukisema eti TAKUKURU Imegundua uwepo wa abiria wanaokata tiketi ya shilingi elfu moja kwenda Luvu(Ruvu) lakini wanaitumia kwenda Morogoro! Swali langu kwako, ndani ya treni wamo wafanyakazi wengi wa TRC wakiwemo mashosti, je, ni vipi shirika...
  10. Surya

    Kitu muhimu ni upendo tu, ukipungua ni machafuko

    Yesu alitaja mara nyingi amri za Musa na kuziangazia katika mafundisho yake. Alisisitiza umuhimu wa sheria za Musa huku akieleza jinsi zilivyo msingi wa sheria kuu zaidi za upendo. Katika kitabu cha Mathayo 22:34-40, Yesu anazungumzia juu ya amri kuu, akijibu swali la Mfarisayo kuhusu ni ipi...
  11. Mi mi

    Kuna kitu kinachochea maendeleo ni muhimu sote kufahamu

    Tufanye hivi Uingereza na Waingereza hapa utakuta U.K Canada Australia New Zealand U.S Pia Uchina na wachina hapa utakuta China Hong-Kong Macau Taiwan Singapore Hapa tunaweza weka mjumuisho mwengine mkubwa wenye maana kama tukihitaji uelewa zaidi China, Japan, Korea maana hizi ni jamii...
  12. S

    Si kwamba vyama vya upinzani ni bora zaidi, lakini ni muhimu Watanzania kuiondoa CCM madarakani to teach the Police a lesson

    Watu wengi wamekuwa wakivitazama vyama vya upinzani katika mtazamo wa kuwa mbadala wa CCM katika uongozi, na wengi wanasema kwamba bado havijakomaa kuongoza nchi, jambo ambalo siku zote nasema, tulipopata uhuru TANU haikuwa imekomaa kuongoza nchi. Sasa mimi naona kama imefikia mahali jeshi la...
  13. U

    Rais Samia Suluhu Hassan, amerejea nyumbani akitokea Rwanda

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku! Aksanteni sana
  14. jikuTech

    Ujuzi wa kutambua tatizo kwenye code zako ni muhimu

    Pia Kuna uwezo wa kutawala mazingira ya kazi, unaweza kutazama mazungumzo ya mwalimu na mwanafunzi mafunzo ya Android Development https://youtu.be/ojcQVRNgPoE?si=QFmm1-mntjpXukxa
  15. BabaMorgan

    Kuna aina ya mahusiano ni muhimu ili maisha yaendelee

    Kuwa na mahusiano na Mwanamke ambaye anapatikana muda wowote pale anapohitajika ni kitu cha muhimu sana kwa sisi ambao bado tunapigania kombe na hatuna wake. Kuna jirani yangu alikuwa ananisaidia sana wakati wote sikuwahi kuiona value yake mpake pale alipohama mkoa kutokuwepo kwa huyu binti...
  16. Mturutumbi255

    Siri ya Tarehe 8 Agosti: Je, Unajua Maadhimisho Muhimu ya Siku Hii?

    Tarehe 8 Agosti ni siku muhimu inayoadhimishwa kwa matukio tofauti duniani kote. Ingawa kila tukio lina umuhimu wake wa kipekee, yote yanashiriki lengo moja la kuhamasisha na kutoa uelewa juu ya masuala muhimu katika jamii zetu. Hebu tuangalie kwa undani zaidi matukio haya na umuhimu wake. 1...
  17. HONEST HATIBU

    Muombe Mungu ajibu maombi yako

  18. Mturutumbi255

    LGE2024 Hatma ya Demokrasia Tanzania: Madhara ya Tamisemi Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Hatua Muhimu kwa Serikali na Upinzani

    Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
  19. K

    Tufundishe wananchi kulalamikia haki muhimu

    Nimekuwa Tanzania kwa mwezi mmoja na ndiyo nimerudi kwenye kazi yangu hapa Texas, USA. Kuna kitu nimeona Tanzania ambacho nafikiri ni vizuri kubadilika Lazima wananchi wajue jinsi na vitu vya kulalamikia. Tufundishe wananchi kulalamikia vitu ambavyo viko ndani ya uwezo wa serikali na sio vile...
  20. emmarki

    Maelekezo muhimu kutoka utumishi kwa wanaoomba ajira za ualimu

    Ewe unayeomba ajira za ualimu hakikisha umefuata maelekezo na masharti kama yalivyoelekezwa na utumishi. Barua yako ya maombi utie saini kwa mkono wako, jidanganye utumie adobe signature unaliwa kichwa. Address ya utumishi usikosee hata nukta, Certify vyeti vya taaluma kama ilivyoelekezwa.....
Back
Top Bottom