Vijana wengi Leo hii wapo busy kutafuta mambo ya Kuwa furahisha na siyo kuwa fanikisha .
Kama kijana anapaswa kujenga nguzo zifuatazo ili aweze kufanikiwa
Kwa Leo nitaongelea nguzo mbili tu , zengine wakati ujao,
nazo ni hizi .
1) kijana ana paswa kumtafuta Mungu na nguvu zake,
ili aweze...
USALAMA WA MTANDAO NI MUHIMU KWA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAHUNDI
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam
NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na...
Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo
Habari wakuu,
Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na...
Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi.....
Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia.
Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu.
Ikiwa unatamani wanaume hovyo hovyo , utachukuliwa na mbwa mwitu wakali.
Huo ndio ujumbe wenyewe...
Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja
1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi.
2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
Nimeshawahi kuchapisha bandiko mbalimbali yenye mlengwa wa kuhoji/kupinga vikali uwepo wa Mungu mkuu hoja zangu zilikuwa based on theories nadharia, ufahamu na akili/rational thinking katika kutambua uwepo wa Mungu sikufanikiwa kutambua uwepo wake katika kuyaongoza maisha yetu, ila nimekuja...
Kitabu "Make Money With Affordable Apartment Buildings and Commercial Properties" kinazungumzia njia mbalimbali za kuwekeza katika mali isiyohamishika kwa gharama nafuu. Hapa ni mambo 10 utakayojifunza kutoka kwenye kitabu hiki kwa kila sura:
Sura ya Kwanza.
Utangulizi wa Uwekezaji katika Mali...
Land flipping (kununua na kuuza ardhi)ni mchakato wa kununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukiuza kwa bei ya juu baada ya muda mfupi ili kupata faida.
Hii inaweza kufanyika kwa kuboresha ardhi kwa njia fulani. Njia za kuendeleza ardhi ni kama vile:
✓ Kuendeleza miundombinu,
✓ Kuomba...
Utangulizi.
Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo.
Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...
"Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora
UTANGULIZI
Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au vizuizi. Kuna mambo kadhaa yanayowakilisha mfumo wa data wazi kama vile data inapatikana bila malipo au...
Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege.
Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia CCM. Kwa utafiti wangu binafsi nadhani CCM Arusha ndo imejaa mamluki wengi sana wa CHADEMA kuliko...
Kila nikitaka kununua gari nawaza sana je nizingatie vitu gani ambavyo nitaviangalia ili kupata gari zuri
Maana kuna jamaa mmoja kanunua gari mwezi tu kalipaki kisa ubovu, na mimi sitaki yanikute
NISHTUENI WAZEE
JamiiForums, imezungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Geofrey Tengeneza kufahamu iwapo wameongeza nyaraka za kukabidhi ili kupata Kitambulisho cha Taifa (NIDA) ambaye ameeleza kuwa taarifa hiyo haina ukweli na siyo sahihi.
"Hiyo siyo kweli na siyo sahihi...
THE STORY OF CHANGE
Kutokana na ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania bara kutoka milioni 33.5 sensa ya mwaka 2002 hadi milioni 44.92 sensa ya mwaka 2012, na kufikia milioni 59.851 sensa ya mwaka 2022, kumekuwa na ukuaji mkubwa wa miji na ongezeko la mahitaji ya ardhi kutokana na upatikanaji...
Salamu wanajamvii
Mabadiliko ya kimiundombinu au miji ni sehemu pia inayogusa mazingira yanayotuzunguka moja kwa moja.
Nikigusa moja kwa moja kwenye jiji ambalo nipo na limefanya niwasilishe kero/tatizo/kadhia hii ambalo ni jiji la Dodoma kuna tatizo kubwa la utunzaji wa taka.
Utaratibu wa...
Ikiwa Uhuru utatishiwa, basi Demokrasia na Uchaguzi vyote vitaathirika, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, mazingira ya Vyombo vya Habari yalijipambanua kwa kufungiwa kabisa kufanya kazi, kuzuiwa kwa muda, kufutwa kwa leseni na kuporomoka mno katika vipimo vinavyoonesha viwango vya Uhuru wa...
Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika.
Wakati hayo...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari ya kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali, zikiwemo nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiteknolojia. Mabadiliko haya chanya yametokana na hatua za makusudi zinazolenga kuimarisha maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hata hivyo, njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.