Survey ni muhimu sana kabla hujachimba kisima cha kisasa

Survey ni muhimu sana kabla hujachimba kisima cha kisasa

Villanova tito

Senior Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
148
Reaction score
154
Kama unahitaji kuchimba kisima cha kisasa chenye matokeo chanya usichimbe bila kufanya survey

Faida ya survey

✅itakupa uhakika wa kupata maji na yapo umbali gani kwa mita

✅utajua gharama halisi za uchimbaji

Hasara za kutokufanya survey

✅kukosa maji au kupata maji machache yasiyokizi matakwa

MAWASILIANO 0769509666

1752588451336.jpg
1752588459951.jpg
 
Kama unahitaji kuchimba kisima cha kisasa chenye matokeo chanya usichimbe bila kufanya survey

Faida ya survey

✅itakupa uhakika wa kupata maji na yapo umbali gani kwa mita

✅utajua gharama halisi za uchimbaji

Hasara za kutokufanya survey

✅kukosa maji au kupata maji machache yasiyokizi matakwa

MAWASILIANO 0769509666

View attachment 3406906View attachment 3406907
Namba yako ya simu haina maana sana hapa, weka gharama za kufanyiwa hiyo survey.

Vijana mnakwama sana, na sababu ni nyinyi wenyewe kujikwamisha.
 
Back
Top Bottom