Leo ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko.

Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo.

Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao.

Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon sio wachuuzi wa fremu.

Subiri saa 11 jioni uone balaa pale Mlimani City hawa watapachikwa jina la wadau.

Billion 100 ni uchafu tu mbele ya wafanyabiashara si ajabu zikazidi.
images (2).jpeg
 
kwa kweli hamna mfanya biashara asiyemkubali Samia , hata mimi nitachangia hilo halina ubishi !!! yule jamaa alikuwa miyeyusho sana
Mdau wa kwanza
 
Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko.

Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo.

Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao.

Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon sio wachuuzi wa fremu.

Subiri saa 11 jioni uone balaa pale Mlimani City hawa watapachikwa jina la wadau.

Billion 100 ni uchafu tu mbele ya wafanyabiashara si ajabu zikazidi.View attachment 3438986
Leo ndiyo siku ambayo CCM wanahalalisha wizi wa fedha za umma kutoka hazina ya Taifa na hongo kutoka kwa mafisadi!
 
Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko.

Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo.

Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao.

Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon sio wachuuzi wa fremu.

Subiri saa 11 jioni uone balaa pale Mlimani City hawa watapachikwa jina la wadau.

Billion 100 ni uchafu tu mbele ya wafanyabiashara si ajabu zikazidi.View attachment 3438986
Wamelazimishwa
 
Chama kubwa, sio chama cha manyumbu miezi 7 wameraise 160M tu
 
Wanaenda kuchangia kwa hiari yao ama nukuu ya waliohudhuria inachukuliwa?
 
Cartels wa narcotics mtawaona leo live.

Narcos state.
Wale wote wanaosemwa semwa humu kuwa wananetwork wataonekana, kusikika,kutajwa au fununu kuhusu michango yao leo hii
 
Back
Top Bottom