Leo ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo

Leo ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo

Wanachama 12M+hai hawahitaji harambee za mabwenyenye kujitoa kwa chama chao
Wale wa Chadema 10M wangetoa zile buku buku tu Chama kingeraise 10B.. Sasa sijui 160M imekuwaje kuwaje. Au zimefika ila zimeliwa na wajanja kamanda??
 
Walishachangishwa kitambo leo ni geresha kuleta na cartels wakiwa branded kama wafanyabiashara/wadau.
20250812_145130.jpg
 
Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko.

Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo.

Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao.

Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon sio wachuuzi wa fremu.

Subiri saa 11 jioni uone balaa pale Mlimani City hawa watapachikwa jina la wadau.

Billion 100 ni uchafu tu mbele ya wafanyabiashara si ajabu zikazidi.View attachment 3438986
✔️ Apart from that.... No way
 
Back
Top Bottom