Ilikuwaje Rostam Aziz akapewa nafasi kuwakilisha sekta Binafsi kwenye siku muhimu !?

Ilikuwaje Rostam Aziz akapewa nafasi kuwakilisha sekta Binafsi kwenye siku muhimu !?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi.
Katika Hali hii ya ushiriki wake kwenye siasa umewahi kumwingiza kwenye tuhuma na shutuma za rushwa na ufisadi hapa nchini!
Kwa mantiki hii ,nilipoona juzi kasimama kwa niaba ya Sekta Binafsi ,nilishangaa sana!
Kuna mambo kadhaaa

...aidha hana aibu
....au waliotaka aongee hawana aibu.
....Wenye Mamlaka hawajali
....Tanzania tunawalakini!
 
Back
Top Bottom