Wakuu Kwema!
Nafahamu viongozi wengi wa serikali wanapita humu JF.
Naomba kujua Kama mwaka huu kutakuwa na sikukuu za Nane nane.
Ili wakulima tujue tunafanyaje.
Natanguliza shukran
Mimi nimeumia na nimeniuma sana: haiwezekani mtu ume-graduate 2015 unaachwa kuajiliwa eti anaajiriwa wa 2018 kisa kakuzidi umri
Kwahiyo kutokuwa na umi mkubwa ni kosa?
Je, ajira za serikali sharti iwe na miaka mingapi? Tunaomba ufafanuzi,
Mtu kaanzia kufanya kazi kwenye taasisi binafsi hadi...
Leo mheshimiwa rais Samia amesikika akisema kuwa hataki kuona rufaa ya mtumishi wa umma ikiletwa kwake baada ya kuwa imeshaamuliwa na Tume ya utumishi wa umma.
Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, kwa mujibu wa sheria yeye ni mkuu wa utumishi wa umma na pia ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya...
Tunaomba serikali na hasa Wizara ya Elimu na ike ya Tamisemi waliangalie sana hili na kulitolea muongozo mapema.
Malalamiko yenyewe ni kwamba kumekuwa na utaratibu kwa shule za binafsi hasa zile za English Medium kuzuia wanafunzi wa madarasa ya mitihani kwenda likizo hasa ya mwezi wa sita...
Naomba msaada wenu nina duka la nguo la kawaida tu na lipo eneo zuri la biashara kinachonishangaza sipati faida kabisa je kuna yeyote kwenye biashara hiyo ambaye anaweza kunishauri jinsi ya kulisimamia? Mimi ni mfanyakazi kwa hiyo si mara kwa mara nakuwa dukani hapo.
Naombeni ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.