muongozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. pancras utenga

    Miongozo kuhusu In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania

    Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
  2. The Sunk Cost Fallacy 2

    Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  3. chuma jr

    Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Habari za majukumu wakuu Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
  4. Natafuta Ajira

    Wakazi/wenyeji wa Iringa naombeni muongozo wenu

    Kwa sasa makazi yangu ni Iringa mjini hapa Kihesa. Shughuli niliyokua nafanya kwa kiasi kikubwa inategemea jua kuwaka mchana na sasa ni kipindi cha mvua ivyo kazi haifanyiki Kwa wajanja janja wa huu mkoa nina akiba ya 500K naweza kufanya mishe gani kwa kipindi cha mvua ila tu isiwe kilimo
  5. Village fooler

    Naomba muongozo katika hili

    Nawasalimu katika jina la jamhuri, Naomba mwenye uelewa katika suala hili anisaidie, iko hivi mimi naishi moja ya mikoa ya kanda ya ziwa kuna rafiki yangu anaishi mkoa wa iringa, juzi alinipigia simu ananiambia kuna tenda ya kukata miti pori kwa ajili ya uchomaji wa mkaa, mimi namiliki chainSaw...
  6. vibertz

    Naomba muongozo wa kupata vibali vya kusafirisha nyama

    Habari, Nataka niwe nasafirisha nyama kutoka Tanzania bara kupeleka Tanzania visiwani. Mwenye uzoefu wa hii biashara naomba anifahamishe kuhusu namna ya kupata vibali na nyaraka zote zinazohitajika katika biashara hii. Na namna nzuri ya usafirishaji na kufanya packing. Asante.
  7. Zekoddo

    Muongozo wa namna ya kuoshea viatu vya ngozi kama hivi

    Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..? Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua..
  8. Mr_Plan

    Mwenye uzoefu na hii pcmcia kwenye TV atupe muongozo

    Hii Slot nimeona kwenye TV Yangu Aina ya LG Lakini Hadi Sasa Sijajua Matumizi Yake Wenye Ufahamu ni Slot ya PCMCIA Atupe Muongozo
  9. Mr Pixel3a

    Naomba mwongozo wa ununuaji wa hisa na makampuni ya uhakika

    Je ni makampuni gani Tanzania yanayotoa huduma ya uwekezaji mfumo wa hisa kwa wanachama kwa ufanisi na faida? Na je maelezo tajwa hapa chini Yana ukweli kuzuia kupata hasara na matatizo ya afya ya akili
  10. NetMaster

    Mwezi ujao nataka nifunge adsl ya ttcl nipunguze gharama a internet, naombeni muongozo wenu wakuu..

    Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi. Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k. Nataka nipunguze gharama hio...
  11. Jackbauer

    Ni muhimu sasa kuwa na muongozo wa msafara wa Rais pamoja na gari maalumu lenye hadhi na cheo maalum

    Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili wa malikia Elizabeth Il. Inawezekana tukapiga kelele sana ingawa tukashindwa kuwa na sababu thabiti...
  12. Suley2019

    Maxence Melo: TCRA sikilizeni pande zote kabla ya maamuzi. Sheria na Sera za Nchi zilenge kuchochea Uchumi wa Kidigitali

    Baadhi ya masuala aliyoongelea Mkurugenzi mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo, katika warsha ya kukuza maudhui ya ndani yaliyofanyika TCRA. Kukosoana si kubaya Ukosoaji uwe wa pande mbili, kama kamati inavyokosoa watengeneza maudhui na wao pia wakubali kukosolewa, lakini kukosolewa huku kuwe...
  13. Green Thoughts

    SoC02 Agizo lolote linapotelewa, muongozo wa mbadala wake utolewe, ili kuepusha kukiukwa kwa agizo hilo

    Tunaishi katika ulimwengu ambao kila mahali utakapofika au utakapodhuru kuna utaratibu maalum uliowekwa na wahusika wa eneo hilo ili kuepusha sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza, inayoweza kumgharimu mhusika au mgeni yoyote kwa namna moja au nyingine. Hii inaanzia katika ngazi ya mtu...
  14. I

    Naomba muongozo juu ya upandaji bora wa miti ya mvule

    Habarini za leo, Nataka nipande miti ya mvule kwenye shamba langu ili watoto waje kufaidi matunda uko mbeleni. Nipo mkoa wa Mara uku, kwenye wilaya ambayo mvua sio za uhakika na ardhi ina joto kiasi je, mvule utakua vizuri kwenye eneo hili? Pia naomba kufahamishwa mvule unachukua miaka mingapi...
  15. Kainetics

    Muongozo Kamili wa kuanzisha na kuendesha Youtube Channel

    Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza pesa. Kati ya wote ambao hupatwa na hili wazo, karibia asilimia 60% huendelea na kufungua channel...
  16. Kainetics

    Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging: Muongozo Kamili

    Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments, MLM's na hizo App zinapromiss kulipa ukifanya tu task twa ajabu ajabu kwenye simu... Basi nadhani...
  17. Vinci Dayot Upamecano

    Naanza upya na biashara ya Nafaka rejareja, nipeni Muongozo

    Ishini sana, Tabu sio jambo jema lakini hatuna budi kuzipitia. Kuna kibanda nimekiotea kipo soko la mtaani, hilo soko halina watu wengi saana ila pilika pilika zipo kimtindo pamoja na makazi ya watu sio uswahilini sana sio ushuani sana ni changanyikeni flani hiv nataka niweke kambi hapo...
  18. I

    Kwa wanaofahamu, naombeni muongozo wa jinsi ya kusajili kikundi cha hisa na mikopo

    Naam naona kichwa cha habari kimejitosheleza, naomba mjuzi anipe muongozo wa utaratibu mzima wa usajili.
  19. Abdul Nondo

    Kifungu cha 3.9 cha Muongozo wa Anwani za Makazi kinatumika vibaya

    Kifungu hiki nimeakiambatanisha chini kinazuia watu walio katika hifadhi,mabondeni,Pembezuni mwa eneo la Barabara na maeneo mengine yanayoitwa hatarishi kutotakiwa kuwekewa anwani za makazi .Matokeo yake kifungu hiki kimekuwa kikitumiwa vibaya na hivyo hata wakazi wenye haki ya kupewa anwani za...
  20. Introver

    Muongozo wa bei kwa fundi welding

    Habali wana jamvi. Husika na kichwa cha habari hapo juu Naomba kujua bei za madirisha ya chuma mageti na vitanda kulingana na vipimo vyake. Asante
Back
Top Bottom