Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0%
Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa.
Je, ni biashara?
Bitcoin ni nini?
Crypocurreny ni nini?
Watu gani wanaruhusiwa kujiunga/kumiliki?
Gharama zake na faida zake je?
Naombeni muongozo
Habari zenu wakuu,
Nimechaguliwa kwenda chuo Cha ufundi Arusha (ATC), sasa nilikuwa naomba muongozo nini cha kufanya kwasababu nimeingia kwenye website yao siielewi.
Napiga simu haipokelewi. Nilikuwa naomba msaada wenu
Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii lakin hadi sasa wana machaguo mawili na wasijue nini cha kufanya. Ambayo ni 1.kuanzisha kampuni ya...
Binafsi mwezi huu wa tatu hivi karibuni nilisafiri kwenda mkoa X ila ni ndani ndani mpakani na Msumbiji huku.
Kwakuwa ni kwa kaka yangu sikua na mashaka kwenda, bro ameshaoa tayari na pia ana watoto wawili sema anaeishi ni mmoja mwingine yupo kwa shangazi (yaani bibi)
Haya wiki ya kwanza picha...
Wakuu nasikia halmashauri wanatoa mikopo kwa ajili ya vijana.
Je, kuna yeyote humu ambaye amewahi kukopa.
Atupe muongozo, kama vile masharti yao, riba zao,na kiwango wanachotoa, nk
Hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa maneno na maana zake. Ni katika kukuza lugha ya kiswahili nami nimekutana na maneno kadhaa hapa naomba tuendelee kushea ili kufahamu mengi zaidi kadri mtakavyopata.
Yangu ni haya:
1. Kisopwa
-Mwanamke anayependa kuomba omba hela hovyo.
2.Kifuvu
-Mwanamke...
Dunia nzima inafahamika kuwa katiba ndio supreme law of the state.
Leo hii sisi watanzania tuna katiba ambayo ilitungwa mwaka 1977. Na ukiangalia ilikuwa ikireflect kujibu matatitizo na kero zilizokuwepo wakati huo. Ndio maana kumekuwepo na mabadiliko ya katiba hapa nchini kwetu zaidi ya mara...
Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje?
Naomba muongozo
Habari wana JF,
Nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga VETA koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe nitashukuru.
Habari wakuu,
Kuna wadogo zetu wamepata matokeo yao ya kidato cha nne. Ni ngwe muhimu sana kwenye maisha yao, kwa sababu ndio inayotoa upepo awe nani baadae kitaaluma kwa uchaguzi anaofanya sasa japo kwa baadhi wanaweza kuwa na wigo mpana wa kuchagua tena baadae.
Hapa jukwaani kuna wengi ambao...
Jana Mhe .Rais Samia alizindua Kitabu cha muongozo kwa Majaji na Mahakimu kinachohusu jinsi ya utoaji wa Haki za wanawake na watoto ktk kesi za mirathi ndoa na talaka n.k.
Sisi wananchi tunashukuru kwa hatua hiyo lakini tumeshangaa sana kuona kitabu hicho kuandikwa kwa lugha ya kizungu wakati...
Wakuu habari!
Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto...
Habari wadau,
Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k
Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja...
Habari ndgu zangu,
Kijana wenu hapa nimekuja kuomba msaada kwenu.
Kwasasa sina mtaji hivyo nimeamua kuliko kukaa bure tu na kusubiri vya kupewa nimeona bora nijikite huko VIWANDANI.
Hivyo basi nimekuja hapa kuomba kujuzwa namna ya kupata hizo kazi, natakiwa kua na nini na nini ili nipate...
PICHA: Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo.
Mkuu wa Wizara ya mambo ya ndani aache hizi Comedy, Ni...
Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu.
Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama...
Mwongozo huu unalenga kuweka mazingira wezeshi katika maeneo ya Taasisi za elimu ikiwa ni pamoja na; Vyuo, shule za sekondari, shule za Msingi, shule za awali na vituo vya kulelea watoto wadogo mchana (Day care centres) kabla ya wanafunzi kurejea shule na vyuo na kuendelea na masomo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.