Baada ya kusoma kitabu cha fikiri utajirike (Think& grow rich) nimetokea kuvutiwa nami kutafsiri vitabu ambapo nia yangu nikuja kutafsiri kitabu kama cha human nature, unlock it by Dan Lok na vingine vingi ila nikaona nisiishie hivi hivi nikaingia Google kutafuta mwanga kidogo lakini nimeishia...
Habari wana JF, nimeapply hizi nafasi za kazi za jeshi zilizotolewa Mei, 2024.
Je, nitegemee nini baada ya kupita usaili?
Nina degree nmeapply kwenye Kategoria ya Forensics. Naomba kujua mchakato mzima huwa unaendaje: usaili lini, majibu baada ya muda gani, mafunzo ya jeshi ni mda gani, na...
Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako.
Kila biashara ina mtaji na mtaji wa mwanasiasa ni mtu mjinga ambae hajielewi ndo anaweza kukalishwa kwenye jua na kupangishwa foleni ili kupiga kura.
Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .
Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!
Njooni, wataalamu wa bajeti
Wakuu habari,
Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu?
Natanguliza shukrani
Kuna Jamaa Nambebaga Kwenye Bodaboda kumpeleka Kazini daily Aliniambia Analipwa 500K Kajenga Na Ana Mke Na Watoto Wawili Anasomesha Bording Hivi Inawezekanaje?
Salaam Wakuu,
Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA).
Msaada:
Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi...
Habari.
Natafuta mtu anayesomea Shahada ya Kiswahili UDSM anipe msaada wa uchambuzi wa vitabu fulani vya Kiswahili. Ni Muhimu awe mwanafunzi maana kazi tutaifanyia chuoni.
Naomba aniDM.
Salute,
Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha.
✔️Mwanamke awe anaishi kwao na wazazi wake , sio anaishi geroo
✔️Hakikisha huo mwanamke aliyekwisha...
Mimi ni Kijana wa kitanzania nipo chuo mwaka wa tatu hapa Chuo kikuu Cha Sar es Salaam.
Kutokana na tatizo la uhaba wa ajira nime develop wazo la biashara hili takapo maliza chakula;
Wazo langu nataka nifungue kampuni ya chakula yaani itakayo kuwa inajihusisha na usambaji wa chakula cha...
Tumekuwa na kawaida Kila Jumalipi tunaenda kanisani kusali Kwa sisi Wakristo na tukisisitizwa kuwa ni siku ya Bwana; kuwa alipumzika siku ya Saba.
Je lugha yetu inanichanganya maana nafahamu juma mosi ndio mwanzo wa wiki, jumapili ni siku ya pili and so on. Nimegoogle ipi ni siku ya kwanza ya...
Salam salaam!
Tieni neno wakuu namna ya kudili na huyu mwanamke niliyeishi nae km jirani yangu kwa muda wa mwaka hivi kabla hajahama na sikuwahi kuwa na mazoea nae zaidi ya salamu tu. Tatizo linaanza anampigia wife simu na kumpa taarifa zangu kuhusu mchepuko niliokuwa nao wakat wife hayupo, na...
Wakuu natumai mko poa, Kuna jambo naomba mnipe muongozo tafadhali. Nimekuwa napenda Sana kwa siku nyingi kusukuma haya mabasi ya mikoani.
Napenda sana kusukuma hizo chombo, naombeni muongozo nianzie wapi mpaka kufikia hatua ya kukabidhiwa chuma la mafasa marefu.
hawa ni ANDO g30 ni 18500
Hawa ni ALAF g28 ni 23,311
hawa ni sunshare g28 ni 24,100 .
Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
Makonda sasa asuke au anyoe, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi.
Naiona falsafa ya makonda ya kudhalilisha ili apate umaarufu inagonga mwamba, je nini hatma yake?
Atabadili gia angani na kwanza...
Ndugu wana jamvi nisicheleweshe muda.
Mwaka Jana mwezi Novemba serikali ilitoa katazo la kufanya shughuli za kilimo Kwa maeneo kadhaa na kuidhinisha uhamisho wa baadhi ya vijiji. Mwezi Disemba waziri mkuu alifuta GN 28 na kufanya marekebisho ya maeneo ya kuhama na kufanya shughuli za kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.