mussa zungu

Mussa Azzan Zungu (born 25 May 1952) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ilala constituency since 2005.

View More On Wikipedia.org
  1. LGE2024 Mussa Zungu anapita mtaa kwa mtaa kuombea kura CCM. Haoni aibu jinsi mitaa na hali za wananchi zilivyokuwa mbaya?

    Wanabodi, Kama mnavyojua kuwa sasa hivi kampeni za serikali zinaendelea na jana Mbunge wa Ilala Mussa Zungu Ukiangalia mitaa ambayo alikuwa anapita ni mitaa ambayo barabara ni mbovu, hakuna mpangilio na hata mitaa haiko katika hali ya usafi. Anakutana na wananchi wanauza mihogo katika hali...
  2. LGE2024 Mussa Zungu ajitosa kampeni za Mtaa kwa Mtaa, awaombea Kura Wagombea CCM, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mussa Azzan Zungu, ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, ameendelea na kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Upanga Magharibi, jijini Dar es Salaam. Amengia kuogea na wananchi mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba, Zungu amewanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
  3. J

    Pre GE2025 Naibu Spika Mussa Zungu awaasa wabunge wasiogope kurudi majimboni. Awataka wapange maneno ya kwenda kusema majimboni

    Naibu Sipika wa Bunge, Mussa Zungu amewataka wabunge wasiogope kurudi majimboni kwani kuna miradi mingi ya kuzungumzia na kuwa wameonyesha wana sifa za kurudi bungeni 2025. “Niwapongeze wabunge kwa kazi nzuri mliyofanya kipindi hiki chote ambacho tuko bungeni, mmeonyesha umahiri wenu na...
  4. Pre GE2025 Mussa Zungu: Rasmi sasa tumeanza Ajenda ya Samia 2025

    Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu. Musa Azan Zungu Mbunge, Ilala (CCM) ============ For English Audience Only============= "We officially...
  5. Mussa Zungu: Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wametukumbusha mbali sana

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amewapongeza Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuweka bidhaa ambazo ndizo wanazifanyia kazi na kusema imewakumbusha mbali sana. Naibu Spika Mhe. Zungu amesema hayo Juni 05, 2023 jijini Dodoma wakati...
  6. Naibu Spika Zungu, ongoza vikao na acha ukiranja

    Nikiri kwanza kwamba, baada ya uchaguzi mkuu uliopita 2020, morale ya kufuatilia siasa za nchi hii imeshuka sana kwangu, ukiachia mbali kufuatilia bunge lenyewe. Namna siasa zinavyotafsiriwa na kufanywa kwenye nchi hii, haitii raha kabisa, kama tunakuwa wakweli wa dhamira zetu. Tunamuomba tu...
  7. Mussa Zungu ataka wananchi kujifunga mkanda kwa maendeleo yao, asema misaada inaenda kupungua kutokana na vita

    Naibu spika wa Bunge, Mussa Zungu akiwa kwenye mkutano wa ITAC unaohusu ushiriki wa wananchi kwenye maendeleo ya nchi, ameipongeza Serikali kwa kuwasikiliza wananchi na kupunguza Tozo. Zungu ametaka kujivunia na kufunga mkanda kujenga wenyewe badala ya kutegemea misaada kwani inaenda kupungua...
  8. Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano(NICTBB) unaweza kuzalisha mapato kuizidi TANESCO, endapo wanaokwamisha watadhibitiwa.

    Preamble: Fikiria una nyumba 1000, zote zina huduma ya umeme na fiber. Zote zina matumizi ya kawaida ya umeme na fiber. Kwa kawaida gharama ya umeme iko chini kushinda fiber. Nyumba moja inaweza kutumia 20,000/= kwa mwezi kwenye umeme. Kwenye fiber kifurushi cha 50,000/= unlimited kwa mwezi...
  9. Waitara awashukia vikali Mawaziri. Zungu amjibu hata yeye alikuwa anafanya hivyo hivyo alipokuwa Naibu Waziri

    Leo mbunge Waitara amewashukia naibu Waziri maliasili na Waziri wa ardhi na kuwalaumu kumtegea mabomu njiani. Waitara amesema wahusika wameenda jimboni kwake na kudai wamemshirikisha eneo la mipaka na kuwahamisha watu bonde la mto Msimbazi. Waitara amewataka mawaziri wa Maliasili na Ardhi...
  10. Mussa Zungu: Tutegemee mengi magumu yatakuja. Asema kupanda kwa bei hakujatengenezwa na Serikali

    Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile. Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala...
  11. Mussa Zungu: Ni kweli tozo za miamala zipo juu

    Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala amesema haya Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Rais Samia ametoa maagizo kwamba litizamwe wapi tulipokosea. Hii kodi tumeiweka kwa ajili ya wenye uwezo, kati ya...
  12. Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

    Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano. ====== UPDATES: Rais amemteua Mussa Zungu kuwa Waziri wa Muungano na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…