muswada

  1. Lady Whistledown

    Zijue adhabu za 'Ushoga' kwa Mujibu wa Muswada uliopitishwa na Bunge la Uganda

    Mbali na kuharamisha mapenzi ya jinsia moja, Muswada huo unapiga marufuku kueneza na kuunga mkono vitendo vya Ushoga na Ushoga uliokithiri. Ushoga uliokithiri unahusisha mapenzi ya jinsia moja na watu walio chini ya umri wa miaka 18, watu wenye Ulemavu, Wahalifu wa Mara kwa mara au wakati...
  2. JanguKamaJangu

    Uganda: Bunge lapitisha muswada wa kuwafunga jela mashoga

    Muswada huo unawagusa wote wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja au kubadili jinsia, utaanza kufanyakazi baada ya kusainiwa na Rais Yoweri Museveni. Muswada huo unabainisha kuwa marafiki, ndugu wa familia na wanajamii husika watawajibika kutoa taarifa kwenye mamlaka kuhusu yeyote...
  3. JanguKamaJangu

    Marekani: Ikulu yaunga mkono Muswada wa kupiga marufuku TikTok

    Mswada huo utamruhusu Rais wa #JoeBiden kupiga marufuku teknolojia zinazoonekana na Idara ya Biashara ya nchini humo kuweza kuleta "hatari isiyofaa au isiyokubalika" kwa usalama wa Taifa. Serikali ya Marekani na Maafisa wa kutekeleza #Sheria wamedai kuwa TikTok, inayomilikiwa na kampuni ya...
  4. JanguKamaJangu

    Zanzibar: Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wapita

    Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Muswada wa Bima ya Afya kwa wote huku Serikali ikiahidi kuhakikisha mfuko huo unakwenda kutekeleza malengo yake ya kuwapatia Wananchi huduma za Afya kikamilifu kwa makundi yote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dkt. Saada Mkuya alisema...
  5. jingalao

    Bunge halijatenda haki kutowasilisha muswada wa Bima ya Afya kwa wote

    Naendelea kushangaa juu ya kigugumizi cha wabunge juu ya muswada huu muhimu unahusu afya za watanzania. Hili ni jipu la muda mrefu sana lenye kuhitaji tiba. Siku za nyuma Serikali imekuwa inakwepa kuwasilisha muswada huu bungeni. Hata hivyo vision ya Rais Samia ilikuwa ni kuwasilisha muswada...
  6. DodomaTZ

    Faida za Muswada wa Bima ya Afya kwa Wananchi wa Kawaida na Masikini

    Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 6/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni mlimalize hili, tuleteeni Serikalini tulijadili ili tuone kama linatekelezeka kwa kiwango gani. Agizo...
  7. BARD AI

    EALA wapitisha muswada wa Kamisheni Huduma za Fedha

    BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limepitisha muswada wa Kamisheni ya Huduma za Fedha ya Afrika Mashariki (EAC). Muswada huo wa mwaka 2022 unalenga kuanzishwa kwa kamisheni kama taasisi huru yenye majukumu, mamlaka, vyanzo vya fedha na makao yake makuu. Kupitishwa kwa muswada huo...
  8. JanguKamaJangu

    Marekani: Wabunge waibua muswada wa kuizuia TikTok sababu ya kiusalama

    Muswada huo ni mwendelezo wa Marekani kupinga mtandao huo unaomilikiwa na Kampuni ya ByteDance ya China. Novemba 2022 mabosi wa FBI walielezea wasiwasi wao kuwa TikTok inaweza kuwa sehemu ya ushawishi kwa Wamarekani wengi kutumia vifaa vya China. TikTok ambayo ina watumiaji zaidi ya Milioni...
  9. BARD AI

    Sababu Muswada wa Bima ya Afya kwa wote kukwama tena Bungeni

    Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHC), ambao kwa miaka zaidi ya mitatu umekuwa ukikwama kuwasilishwa bungeni, kwa mara nyingine umegonga mwamba kujadiliwa na kupitishwa kwa kile kilichoelezwa kukosekana kwa chanzo cha fedha kitakachowezesha utaratibu huo kuwa endelevu. Muswada huo ulitegemewa...
  10. Analogia Malenga

    Nape: Mapendekezo ya wabunge kuhusu muswada wa Sheria ya Taarifa Binafsi yatazingatiwa kwenye uundaji wa Kanuni

    Leo Novemba 1, bunge la Tanzania limesoma kwa mara ya ili muswada wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ikiwa ni baada ya kuokea maendekezo kutoka kwa wadau mbali mbali ikiwemo Jamii Forums. Waziri Nape Nnauye ambaye ni waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akihitimisha baada ya...
  11. R

    Mbunge Abdulwakil: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi italinda utu, heshima na faragha yetu

    Akichangia hoja kupitia mjadala wa Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mbunge Ahmed Abdulwakil amesema kuwa Sheria hiyo ni muhimu na endapo itapitishwa na Bunge italinda utu, heshima na faragha ya wananchi. Kutokana na Tanzania kutokuwa na sheria hii watu wengi wamekuwa wahanga wa taarifa zao...
  12. Roving Journalist

    Bungeni: Mjadala wa Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 uliosomwa kwa mara ya pili

    Leo 01/11/20220 muswada wa sheria ya ulinzi wa Taarifa binafsi wa mwaka 2022 ulisomwa Bungezi na Waziri Habari mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye. Mswada huo unajadiliwa wakati huu bungeni fuatana nami kufatilia mjadala huu. ===== Zahoro Muhamadi Haji: Malengo ya kudhibiti, yapo...
  13. Analogia Malenga

    Kamati ya Bunge ya Miundombinu yataka kuwepo kwa haki ya kusahaulika

    Akiwasilisha mapendekezo Juu ya Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso amesema baada ya kufanya mapitia ya muswada huo na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali wakiwemo JamiiForums amesema ni muhimu kwa sehria hiyo kutambua haki ya...
  14. Roving Journalist

    Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 unasomwa kwa mara ya pili Bungeni

    Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzishwa tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, kuimarisha ulinzi wa...
  15. Roving Journalist

    Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi kuanza kujadiliwa na Kamati ya Bunge

    Muswada huo uliosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza Septemba 2022, unaendelea kwenye mchakato, Oktoba 18, 2022 utawasilishwa katika Kamati ya Bunge, Oktoba 19, 2022 wadau watawasilisha maoni yao. Oktoba 20 na 21, 2022 kunatarajiwa kuwa na mjadala mwingine kuhusu muswada huo kwa kisha utapelekwa...
  16. BARD AI

    Muswada wa Bima ya Afya kwa wote wasomwa Bungeni

    Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote umewasilishwa bungeni ambapo mwajiri wa sekta ya umma na binafsi rasmi atapaswa kumsajili mwajiriwa katika skimu ya bima ya afya ndani ya siku 30 tangu kuanza kwa mkataba wa ajira. Muswada huo uliosomwa kwa mara ya kwanza leo, Ijumaa Septemba 23,2022...
  17. Roving Journalist

    Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wasomwa kwa mara ya kwanza Bungeni

    Muswada huo umesomwa Leo Septemba 23, 2022 Bungeni Dodoma ambao unalenga kuweka misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi za wananchi, Kuweka Kiwango cha Chini cha Matakwa ya Ukusanyaji na Uchakataji wa Taarifa Binafsi, na Kuanzisha Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Masuala mengine muhimu ni pamoja...
  18. The Sheriff

    Bunge Kupokea Maoni ya Wadau Kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022. Mkutano wa kupokea na kusiikiliza maoni ya wadau utafanyika siku ya Jumanne tarehe 20 Septemba, 2022 saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Pius...
  19. BARD AI

    Uganda: Bunge kujadili Muswada utakaoruhusu Upandikizaji Viungo vya Binadamu

    Muswada huo uliowasilishwa Bungeni una mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambazo endapo zitapitishwa, kwa mara kwanza wananchi wake wataweza kujitolea viungo vya mwili na kuruhusu upandikizaji wake. Gharama za upasuaji nje ya nchi ikiwa ndio chaguo pekee kwa sasa ni Tsh. Milioni 69.9 kiasi...
  20. J

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022

    Bungeni Dodoma Leo tarehe 15 Agosti, 2022 Bunge la limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022 (The Water Resources Management Act, 2022). Kupitishwa kwa sheria hii kutaimarisha Bodi za mabonde ya Maji katika kusimamia Rasilimali za Maji...
Back
Top Bottom