muswada

  1. Lady Whistledown

    Muswada wa kupunguza mamlaka ya Rais wa Sri Lanka mbioni kuwa sheria

    Waziri wa Mambo ya Nje, Ali Sabry amesema muswada wa marekebisho ya #Katiba unaopunguza mamlaka ya Rais na kurejesha utawala shirikishi unatarajiwa kuwa sheria katika wiki chache zijazo SriLanka pia iko katika mchakato wa kuandaa sheria mpya ya kupambana na ugaidi ambayo itaambatana na kanuni...
  2. Lady Whistledown

    Bunge la India latupilia mbali Muswada Kandamizi wa Ulinzi na Faragha wa Taarifa Binafsi

    Serikali ya India imeondoa Muswada wa ulinzi wa data na faragha wa 2019 unaotajwa kuipa Serikali Mamlaka ya kuuliza Kampuni kutoa taarifa binasfi za Wateja wa Kampuni za Teknolojia ili kusaidia kutunga Sera, kinyume na Sera za Kampuni hizo Serikali imesema hatua hiyo ni baada ya mapitio ya...
  3. Lady Whistledown

    Bunge la Seneti la Marekani lapitisha Muswada wa Udhibiti wa Bunduki

    Bunge la Seneti limepitisha mswada wa udhibiti wa bunduki nchini humo, kwa kura 65 dhidi ya 33, kufuatia mfululizo wa matukio ya mauaji katika maeneo mbalimbali nchini humo kuhusishwa ununuzi na umiliki holela wa silaha Mswada huo utalazimika kupitishwa katika Baraza la Wawakilishi kabla ya...
  4. Komeo Lachuma

    Mkitaka kufurahia, kuepuka kuuana na kupendana kwa dhati msiwape hela

    Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu. Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu nligundua wote tunapata utamu. Nliona wakati mwingine baby anadai kabisa kuwa ana wazungu...
  5. The Sheriff

    Waziri Nape: Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi upo katika hatua za mwisho

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.” Nape ametoa...
  6. Analogia Malenga

    Kaunti ya Nairobi yaandaa Muswada wa kufanya michezo ya kamari isichezwe nje ya hoteli za nyota tano na casino

    Kenya inaandaa muswada wa Sheria wa kufanya michezo ya kubeti na kamari ziwe zinachezwa kwenye hoteli zenye hadhi ya nyota tano na casino tu. Muda wa kucheza michezo hiyo ikiwa nis aa mbili usiku hadi saa 12 alfajiri Muswada umependekeza Kampuni za Mawasiliano kuondoa USSD codes ambazo...
  7. Miss Zomboko

    Kipengele cha kuwabeba Polisi wasishtakiwe katika Muswada mpya chafutwa na Serikali

    Serikali imefuta Ibara ya 24 iliyokuwa inapendekeza kifungu kipya 47A kwa lengo la kutoa mamlaka kwa polisi kufanya operesheni za kificho kwa madhumuni ya kuzuia utendaji wa makosa. Akitoa taarifa mbele ya Bunge, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi amesema kwamba katika Muswada huo wa...
  8. Jumanne Mwita

    Bunge limejadili muswada wa sheria ambao utampa/ruhusa ya askari polisi kufanya tendo lolote bila ya kushtakiwa endapo itapita

    Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.
  9. B

    Serikali ipeleke Bungeni Mswada wa kurudisha Uchifu

    Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
  10. jingalao

    Serikali ije na muswada rasmi na katazo la biashara barabarani

    Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani. Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani. SAD AND PAIN BUT TRUTH! KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  11. jingalao

    Angalizo: Tunatarajia muswada wa marekebisho kuhusu nishati

    Nichukue Fursa hii kumpongeza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini Tanzania. Yapo mambo mengi yaliyobadilishwa naye katika kipindi kifupi kwa mustakabali wa Tanzania mbele ya Uso wa kidiplomasia. Mengi ni...
  12. I

    Kwa utawala huu tutegemee Muswada wa Sheria kuzuia wasikilizaji wa kesi Mahakamani kuingia bila kibali na simu

    Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii. Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali...
  13. Erythrocyte

    Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

    Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani! Tutarajie muswada wa kufuta huo...
  14. S

    Ushauri kwa Rais Samia: Malalamiko dhidi ya Polisi yanazidi, Muswada wa Mamlaka ya Kusimamia/Kuwachunguza Polisi unahitajika haraka

    Kwako Rais Samia. Suala la mgongano kati ya Hamza na Polisi sio jipya kutokea nchini, labda tofauti kubwa ni kwamba Hamza alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa kuwaua askari. Kila siku malalamiko dhidi ya unyanyanyasasi au uonevu wa Polisi, na yanazidi kujitokeza, lakini inakuwa kama Serikali...
  15. K

    Rais Samia, peleka muswada Bunge lifute adhabu ya kifo

    SIKU zote ninaamini kuwa jamii inayojadiliana mambo yao kwa uwazi bila hofu ya kuhojiwa na dola ni jamii hai. Utamaduni wa mijadala na malumbano ya hoja huzaa maendeleo. Hii ni kwa sababu sisi binadamu ni tofauti na wanyama hayawani wanaoongozwa na hisia-silika. Hawana utashi ndio maana...
  16. jingalao

    Bima ya Afya kwa wote Wizara iache woga ipeleke muswada Bungeni

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alitanabaisha mapema kuwa wataalamu wa afya wahakikishe kuwa muswada wa bima ya afya kwa wote unaenda bungeni haraka. Nichukur fursa hii kama mwanamtandao wa kijamii kuwashawishi tena Wizara ya Afya chini ya mama Gwajima kiharakisha utekelezaji wa zoezi hili. Ni...
  17. beth

    Serikali ya Colombia yafuta Muswada wa ongezeko la kodi baada ya maandamano makubwa ya siku nne

    Rais Iván Duque ameondoa Muswada tata wa mageuzi ya Kodi kufuatia maandamano makubwa yaliyodumu Nchini humo kwa siku nne Awali alisisitiza ongezeko la Kodi lilihitajika ili kukabiliana na mdororo wa kiuchumi lililosababishwa na mlipuko wa Virusi vya Corona, uamuzi ambao uliwakasirisha wananchi...
  18. beth

    Serikali yaandaa Mswada wa taratibu za uvunaji na upandikizaji viungo vya binadamu

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema kutokana na kuongezea kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo. Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve, aliyehoji...
  19. Miss Zomboko

    Bunge kujadili Muswada wa marekebisho ya sheria ya makosa Mtandaoni

    Tough times await artistes, video music producers, advertisers, and individual computer users following proposed tough laws to help tame pornography in the country. Garissa Township MP Aden Duale, in the proposals seen by the Star, wants it made illegal to possess or publish pornography, in any...
  20. Miss Zomboko

    Muswada kuhusu usajili wa Biashara na Kampuni. Watu wenye miaka 70 kuruhusiwa kuwa Wakurugenzi

    Kuhusu Sheria ya Mawakili, alisema inalenga kuanzisha Kamati za Maadili za Mawakili kwa ngazi ya mkoa ili kurahisisha upatikanaji wa haki. “Pia, kumwezesha mwananchi anayemlalamikia wakili kwa ukiukaji wa maadili kushughulikia tatizo lake katika ngazi ya mkoa bila ya uhitaji wa kusafiri...
Back
Top Bottom