Kamati ya Bunge zima leo imepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2021 baada ya kuipitia Ibara kwa Ibara.
Muswada huo unalenga kufanya marekebisho katika Sheria zipatazo Tatu kwa lengo la kuondoa matumizi ya Kiingereza kama Lugha ya Sheria na Mahakama, na badala yake...
Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni.
Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama...
Baraza la seneti la Argentina, limepitisha mswada wa sheria wa kihistoria unaohalalisha uavyaji mimba katika taifa ambalo Kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi mkubwa kwa muda mrefu.
Argentina imekuwa miongoni mwa kundi dogo la nchi za Amerika Kusini kuchukua hatua hiyo.
Muswada huo...
Rais wa Marekani Donald Trump ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900, unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa na janga la virusi vya corona.
Kwa siku kadhaa rais Trump alikataa kutia saini muswada huo tangu ulipopitishwa wiki iliyopita na bunge akiutaja kuwa fedheha.
Kulikuwa...
Juzi nikiwa Dodoma nilimtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa mwandamizi serikalini. Akanionesha muswada uitwao FINEST VALOR.
Kwanza nikataka kumjua mwandishi. Nikaona ni Novatus Igosha. Japo hatujawahi kuonana lakini nafahamu umahiri wake katika masuala ya diplomasia na siasa za kimataifa. Ni...
Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
Bunge la Marekani limepitisha muswada ili kupambana na vile wanavyovisema kuwa ni vikwazo visivyo na mantiki, mateso na unyanyasaji kwa waislamu wa jamii ya Uighur nchini China.
Imelenga vile vikwazo vinavyowalenga wanachama wa serikali ya China na kumtaja kiongozi wa chama cha kikomunisti...
Ikiripotiwa kwenye blog ya daily “If the proposal was to become law, telling someone you love them when you don’t, pretending to be rich and well connected when you are not, claiming educational achievements that you don’t possess, denying a complex sexual history – say, with same sex partners –...
Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo
======
BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI)
Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
Viongozi waandamizi wa vyama mbalimbali vya upinzani leo watazungumza na waandishi wa habari. Watazungumzia maazimio ya #Azimio la Zanzibar.
Muda: Saa tano kamili asubuhi
Eneo: Makao Makuu ya CHAUMMA, Makumbusho, Dar es salaam.
======
UPDATES;
Viongozi Waandamizi wa Vyama mbalimbali vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.