Baaada ya hii post nimeona wasanii wa Kenya wamemjia juu na kumtukana sana,binafsi naona kaongea ukweli Muziki wa Kenya wa siku hizi ni Dead beast, sio kama miaka ile 2000s wakina Prezoo, Nonini, Jua Kali, Nameless, Wahuu, Nazizi, P Unit, Meja etc ambao kidogo walikua wanaleta Chalenji kwa bongo...