50 CENT, GHETTO ECONOMICS NA MUZIKI WA RAP - 2
YO! Peace,
Karibu ufuatilie sehemu ya pili ya mfululizo wa maandishi juu ya 50 Cent, Ghetto Economics na Muzikiwa Rap. Maandishi haya yatakufundisha mengi juu ya business management, Entrepreneurship, Marketing na pia muziki wa Rap. Am your...