Habari za muda huu wakuu. Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa muziki kama Afromusic hasa za Nigeria,South,Ghana na East africa. Pia christian songs,Hiphop za bongo na mbele kias flani,pia Pop na Reggae kama za Lucky dube,Bob marley, Alpha blondy.
Ila kuna baadhi ya aina za mziki ambazo hua...