Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni kila kitu.
Hakuna binadamu aliyekamilika asiyependa kusikiliza au kucheza muziki. Pamoja upenzi wa...