Watu bana sijui kwa nini wanakuwa na secret ajenda kila pale Rose anaposhine. Kazi kumwekea chuki tuu kila kukicha hapo zamani kidogo walimletea chuki baada ya kushinda tuzo ya kili, sasa wanaleta chuki juu ya gauni lake wakitoa sababu za ajabu. Eti gauni lina kola ya kiFremason, etii oooh gauni...