mvua

  1. D

    Ombi la kuelimishwa; hivi radi Zina mchango gani katika mvua?

    Najiuliza itawezekana kweli iwe zipo tu kwa ajili ya kutuhangaisha sisi waogopa radi?!!! Kwamba inajisikia Raha tu kutuona tukikimbilia vunguni mwa vitanda Kila zinapopiga?!! Hapana, lazima zitakuwa na sababu na uhusiano mkubwa na mvua. Elimu yenu tafadhali 🙏🙏
  2. S

    Arumeru-Arusha: Mvua kidogo tu umeme umekata, what's this?

    Kuanzia saa 11 unusu jioni hii imepita mvua kidogo tu Arumeru-Arusha umeme umekata, jamani hii miundombinu imejengwa na nini? Hii ni aibu! Kwa hiyo gizani mtindo moja
  3. The Watchman

    Lindi: Kisa kukosa kitanda, Hospitali ya Sokoine yadaiwa kukataa kupokea mwili marehemu, wanyeshewa na mvua

    Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said akikadiliwa kuwa na umri wa miaka 25-30 amekutwa na umauti ndani ya basi la abiria akisafirishwa kutoka Kilwa Pande kuelekea Hospitali ya Rufaa mkoani Lindi - Sokoine kwa lengo la kupatiwa matibabu. Katika Hali isiyo ya kawaida mwili wa marehemu...
  4. GENTAMYCINE

    Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

    Kama tunajua Nyeti za Mzanzibari Myemeni ndiyo tushindwe kuzijua zenu tena za hapo jirani tu Karume Ilala? Hovyoooo!!!
  5. P J O

    MVUA LAZIMA INYESHE

    Ukitaka kuamini uchawi upo, karibu Kila mechi ya Simba na Yanga inapochezwa lazima mvua Inyeshe hapa Dar Es Salaam. Jumamosi, mtaniambia 😄
  6. R

    Manabii, Mitume, so called watumishi wa Mungu wa kufaya MIUJIZA/UPAKO wameshindwa kufanya miujiza mvua zikanyesha!

    Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao. Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc. Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha? Tunao zaidi ya 400
  7. The Watchman

    Pre GE2025 Gerson Msigwa: Ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere umefika asilimia 99.80, mvua zisiponyesha hata misimu miwili bado tutazalisha umeme

    Serikali inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha mikoa yote nchini inaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kwani kwa sasa, mikoa ya Katavi, Rukwa, Kagera, Lindi, na Mtwara ndio bado haijaunganishwa. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  8. L

    Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote. Mungu akimpa...
  9. The Watchman

    Kilwa: Tanroads yaanza kazi urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja iliyoathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya

    Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na madaraja ambayo yameathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya. Wakizungumza wakati wa ziara ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Salim Hasham Atoa Msaada Kutokana na Mvua Iliyoambatana na Upepo Iliyobomoa Nyumba Zaidi ya 100 Ulanga

    Wananchi zaidi ya 1000 wanaoishi katika kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro wamebaki bila makazi baada ya Mvua iliyoambatana na upepo mkali kubomoa Nyumba zaidi ya 100. Wakizungumza na Waandishi wa habari waathirika wa tukio hilo wameiomba Serikali kupitia ofisi ya...
  11. R

    Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

    Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna 1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
  12. The Watchman

    Mbeya: Mtoto mwenye umri wa miaka sita akutwa amefariki kwenye korongo la maji, wazazi tukumbuke usalama wa watoto kipindi hiki cha mvua

    Wakuu kipindi hiki cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa ni hatari kwa usalama wa watoto wadogo, wazazi tuwe makini na watoto wetu hasa maeneo wanayocheza na kuwadhibiti kutoka nyumbani pindi mvua zinaponyesha ili tuwaepushe na hatari hizi. ===== Mtoto Aliyefahamika Kwa Jina La Vicent Konga...
  13. The Watchman

    Mvua zilizoambatana na upepo zaezua nyumba zaidi ya 100 Ulanga mkoani Morogoro

    Mvua zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo mbalimbali zimeendela kuleta athari ambapo zaidi ya nyumba 100 zimeezuliwa paa na nyingine kubomoka baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha katika Kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro. Baadhi ya Wahanga...
  14. Roving Journalist

    Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
  15. Pfizer

    NEMC yaitahadharisha Jamii kuhusu Majanga tarajiwa yatokanayo na Mvua pamoja na tabianchi

    Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi ameitaka jamii yote kuzingatia maelekezo yanayotolewa na mamlaka za usimamizi na kuchukua hatua za kujilinda na hali ya hatari tarajiwa katika mazingira. Ameyasema hayo leo tarehe 02...
  16. Roving Journalist

    Polisi - Morogoro wathibitisha watu wawili wamepoteza maisha kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linathibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kwa athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Vifo hivyo vimetokea katika nyakati na maeneo tofauti. Tukio mojawapo limetokea usiku wa kuamkia Januari 30, 2025 katika mtaa wa...
  17. Msanii

    Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

    Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea. Hii ni taarifa njema kwa Tanzania Huu ni msiba kwa CCM Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua...
  18. Magical power

    Wale tuliopita humu tujuane, humu hauwezi jua kama mvua imenyesha huko nje

    Wale tuliopita humu tujuane,humu hauwezi jua kama mvua imenyesha huko nje
  19. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Afanya ya Kushtukiza Usiku Miradi ya BRT, Aagiza Ikamilike Kabla ya Msimu wa Mvua za Masika

    WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT, AAGIZA IKAMILIKE KABLA YA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa...
  20. Mkalukungone mwamba

    Kilimanjaro: Mvua yakata mawasiliano barabara ya Kizangaze

    Mawasiliano ya Barabara ya Kizangaze yanayounganisha kata za Maore, Ndungu, Kihuruo na Bendera wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, yamekatika kwa muda baada ya kingo za Daraja la Kizangaze kuvunjwa na mafuriko. Daraja hilo limeharibiwa na mvua zilizonyesha usiku wa Desemba 20, 2024. Kamati ya...
Back
Top Bottom