ASSLAHAM ALHEIKUM
USIKU WA LEO TUMEMPOTEZA MWIZI MASHUHURI WA KAWE CHADI MAELA NA DREVA MMOJA WA PIKPIK
KIJANA BAADA YA KUMKOSA KOSA HUKU KAWE WALIAMUA KUFUNGA NIA KWENDA MIKOCHENI
JANA WAKAFANIKIWA KUFIKA WATATU DUKA MOJA LA JUMLA
WAMEFANIKIWA KUFUNGUA Duka WAKANZA KUTOA MIZIGO MWENYE...
Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya Shilingi Bilioni 140 zitatumika katika utekelezaji huo.
Akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji...
Kuna kipindi nilikwenda nje ya Afrika na kuishi huko kama miaka 4 hivi na kidogo. Mwnyeji wetu alichukua muda wake kutueleza mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika taasisi ile, mji ule na nchi ile na kukutembeza kwenye maeneo machache sana Muhimu ambayo tunaweza kujipatia mahitaji na huduma...
Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua.
Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%.
Sasa hiyo Precipitation 50% inamaanisha nini?
Ni probability ya mvua kunyesha Dar es Salaam ipo...
#HABARI:Baadhi ya maeneo ya Mafinga Mjini, mkoani Iringa, jana yamepata mvua za barafu ambayo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wakisema haijawahi kutokea huku wakiifananisha na ile ya nchi za Ulaya.
Siku ya jana Oktoba 1, ilinyesha mvua hiyo ya barafu na kusababisha theluji kutanda barabarani na...
Habari wakulima kwa Mujibu wa Utabari wa Mamlaka ya hali ya hewa wametoa Taarifa kwamba ile mikoa inayopata msimu wa Mvua mara mbili kwa mwaka mvua zinatarajia kuanza wiki ya nne ya mwezi October, Sasa kama wakulima inatakiwa tupeane update za Mvua kama kuna mikoa tayari imeshaanza ili mikoa...
SERIKALI KUKARABATI MADARAJA YALIYOHARIBIWA NA MVUA.
Naibu Waziri, Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inatambua umuhimu wa miundombinu ya Madaraja na inaendelea na urekebishaji wa madaraja yote ambayo yaliharibiwa na mvua...
Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu zitanyesha chini ya wastani zitaanza kwq kususua.vipi zimeshaanza week la mwisho la august?kwa ujumla kupoje...
Wakuu salam,
Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa.
Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali itahahakisha inasimamia Utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya barabara na madaraja iliyopo katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025 pamoja na kurejesha miundombinu iliyoathiriwa na mvua za El nino.
Rais Dkt. Samia ameeleza hayo...
Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inafanya jitihada za kuhakikisha inarejesha mawasiliano katika maeneo ambayo miundombinu ya barabara imekatika kutokana na athari za mvua hasa katika barabara za wilaya ili kuhakikisha barabara hizo zinapitika.
Mhe. Katima...
Mwezi wa Sita Pwani ya mashariki na ya kusini mwa Tanzania lazima mvua inyeshe Kwa ajili ya maua hasa ya mikorosho na maembe pia mvua inasaidia kupunguza baridi ndo maana Jana maeneo ya Dar na Mtwara imeendelea kunyesha.
Kutokana na juhudi za utunzaji mazingira zilizoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguiz (2020-2025) mafanikio tunayaona kwa mvua za wastani kunyesha jijini. Tunampongeza Mwenyekiti
Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua ,je wajua na nini suluhisho.
Uzalishaji wa dhahabu au jina jingine huitwa kuchenjua dhahabu,hutumia njia za kikemikali ambazo hutegemea pia hali ya hewa ya asili ya sehemu husika.
Katika kipindi cha mvua ,hali ya hewa ya mawingi huchangia kufanya...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la kurudisha mawasiliano kwenye barabara, madaraja, makalvati pamoja na vivuko zilizokatika kutokana na mvua za El-Nino.
Akizungumza na Shirika la...
Sasa ukitaka kufatilia kweli shida iko wapi? Kwanini hakuna anaewajibika? Mvua zimenyesha mpaka mafuriko lakini lao wiki ya pili maji yametoka mara moja tu.
Mtetezi ni nani? Kwakweli hii sio fair kabisa
UTANGULIZI
Mnamo mwezi agosti mwaka 2023 mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) ilitoa tahadhari kuhusu mvua za El nino zitakazo anza kipindi cha vuli kuanzia wiki ya pili ya mwezi october mpaka wiki za mwanzo ya mwezi January 2024 na miezi mingine ya mwaka huo. Mamlaka hiyo ilitoa tahadhari...
Ninaiomba Wizara ya Muungano na Mazingira ije na mpango madhubuti kabisa wa kupanda miti millioni 50 katika kipindi hiki cha mvua. Uhamasishaji ufanywe kuanzia uongozi wa Kaya, Mashule, Mitaa/Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya , Mikoa mpaka Taifa. Mpango huu usimamiwe kikamilifu na Waziri mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.