Mchina amemwaga tope na sasa leo na mvua hii ya tangu saa 9 usiku mpaka sasa hapapitiki.
Tafadhali njooni mkwangue mtoe huo "uji" ambao umeweka madimbwi kwenye kipande hicho.
Kutoka Chalinze kwenda daraja la wachina.
Actually ni mpaka kwenda Kibaoni junction ya kwenda Mgwisha.
Hali ya mvua jijini Dar si shwari kabisa, hii ni siku ya 5 sasa mvua zinanyesha nonstop. Kwa miundombinu ya hili jiji ilivyo mibovu ingekuwa busara shule zifungwe kwa muda, hasa shule za msingi, japo yale madarasa ya chini la kwanza mpaka la nne.
Hivi ninavyoandika hapa mvua imenyesha usiku...
Jana tumeona mechi ya Yanga na JKT ikiahirishwa maana uwanja ulikuwa haitamaniki maji, kila sehemu na utelezi wa kutosha (bila shaka JKT walitaka wachezaji wa Yanga waumie).
Leo mvua ni kubwa kuliko jana, sijui mikoani hali ikoje ila mechi zilizobaki zingepigwa chamazi, Mkapa, kaitaba, labda na...
TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote na kutumika hadi nyakati za mvua Ukiangalia huu uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo ulipo Mbweni Dar es salaam uwanja wa nyumbani wa JKT Tanzania bado kwa kiasi kikubwa hakuwa na vigezo vyote na athari yake sasa ndiyo hii kusababisha mechi...
Ripoti mbalimbali zinaonesha maeneo mengi ya Nchi yanakabiliwa na Mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri shughuli mbalimbali za kila siku ikiwemo Miundombinu
Hali ikoje katika eneo lako na je, kuna usalama?
Wana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji.
Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.
Zaidi ya kaya 50 kutoka kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zinaomba msaada kwa serikali baada ya nyumba zao kujaa maji na kusababisha wakose sehemu ya kuishi.
Tangu January Hadi katikati ya mwezi huu( April) tumekuwa tukisikia na kushuhudia mvua kubwa zikinyesha Kwa baadhi ya mikoa nchini Tanzania.
Kwa mtazamo wangu haya ni matokeo ya ubinafsi wetu juu ya mazingira yanayotuzunguka.
Wiki Moja iliyopita niliongea na mdau mmoja ambaye Yuko mkoani Mbeya...
Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali na kuamua kukijenga upya, hamadi serikali ya mtaa kumbe nao wanajua watatupata, wakanidaka.
Baada ya...
Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya Rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi.
Frankly nilitamani kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu na eneo la...
MJADALA WA MAWAZO :
Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kinaweza kusababisha mafuriko kutokana na sababu kadhaa, zikiwemo:
Mvua kubwa na ya muda mrefu.
Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kunaweza kusababisha mvua kubwa na ya muda mrefu ambayo inaweza kuzidi uwezo wa mifereji ya maji ya asili...
Kuna haja ya kupima maemeo yote ambayo yanatumika kwa makzi, ilikuepuka changamoto ambazo zinaweza kusababisha madhara.
Ni vyema wahusika na wapimaji wa ardhi wangeanza kwanza upimaji kabl ya kukabidhi ardhi kwa wamiliki ili ianze kutumiwa au kuuzwa.
Licha ya mwazo haya pia napendekeza...
Cloud seeding ni aina ya maboresho ya hali ya hewa yenye dhumuni la kubadilisha kiasi au aina ya mvua, kupunguza mvua za mawe au utawanywaji wa ukungu. Ila Mara nyingi lengo huwa ni kuongeza uwezekano wa unyeshaji wa mvua au kuangushaji wa snow, ama kwa namna nyingine njia hii hutumika kuzuia...
Serikali ianze sasa utekelezaji wa wazo la Rais Samia alilotoa mwaka uliopita la kuvuna maji ya mvua Kwa kujenga mabwawa makubwa ili kuwe na hifadhi kubwa ya maji na pengine kusaidia kupunguza athari za mafuriko yanayosababishwa na mvua mahali mbalimbali Tanzania.
Mzuka wanajamvi!
Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi.
Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji.
====
---
Torrential rain and...
Salaam, Shalom!
Maelfu ya watu wanaendelea kuhamishwa baada ya maji kufurika Kwa usiku mmoja tu na kufunika maelfu ya nyumba na miundombinu katika majiji ya Orenburg, Syberia na Euros nchini Urusi na Kazakhstan.
Kwa zaidi ya miaka 100, hakujawahi Kutokea uharibifu mkubwa kiasi hicho, katika...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tathmini ya athari ya miundombinu ya barabara nchini imebaini hadi kufikia jana Aprili 14, 2024 kuwa Wizara ya Ujenzi inahitaji kiasi cha Shilingi Bilioni 500 ili kuwezesha urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja katika hali yake ya...
Habari wana jukuwaa. Ni matumaini yangu unaendelea salama wewe kama mdau!
Leo niwape Tips kadhaa zitakazokusaidia Kujiupusha na Ajali unapoendesha chombo cha Moto Barabarani. Ajali nyingi zinaweza kutokea kipindi cha mvua nyingi kwasababu ya uoni hafifu wa madereva na vyombo vingine hivyo...
Wakuu,
Hali ya mvua ndio kama tunavyoona, imekubali kwelikweli? Hali ikoje eneo lipo? Tupeane updates ya eneo uliko na kama unahitajika msaada wa haraka toa taarifa maepma kuepusha maafa zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.