Wakuu hizi mvua zinaleta ongezeko la Mbu naomba ushauri hasa sisi wenye watoto!

Wakuu hizi mvua zinaleta ongezeko la Mbu naomba ushauri hasa sisi wenye watoto!

USAID wameondoka na vyandarua vya bure kwa wajawazito na watoto. CCM wapo busy na matamasha ya Samia Serengeti Festival, Magoli ya Mama tujiandae kwa vifo vingo vya malaria!

Nchi IPO kwenye autopilot Nani atusaidie!
 
Wapi huko mnalala na net? Nyie ni matajiri sana.
Nalala na net nikiwa Dar tu… nje na hapo net tunalimia mchicha
Vifaranga vyangu ndo nishavipa gheto la USAID 😂😂
 
hata kama ni kuendekeza njaa hii sasa imezidi yani umuangaishe mama kijacho na mvua hii kisa chandarua cha msaada.
 
Vifaranga vyangu ndo nishavipa gheto la USAID 😂😂
net ikichoka inaenda kwa vifaranga, unaweka usaid mpya --- circle ndo hii kwa hisani ya mabeberu
 
Back
Top Bottom