Mnataka waarabu wavunjike miguu kwa Mkapa?WATANGANYIKA TUMEPOKWA HAKI YETU.
Mchawi weweMimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar.
Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.