Kama ni mfuatiliaji wa mwenendo wa mvua nchini utagundua mwezi wa pili kuna shida sana ya mvua za uhakika watu wengi naona wanashangaa mvua ku stop ghafla ila hii ni kawaida kabisa kwa mwezi wa pili.
Mwezi wa pili mvua huwa Inakata na kama zitakuwepo basi za rasharasha.
Katika kipindi cha maswali na majibu, wakati maswali yakielekezwa kwa Naibu Waziri, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ndg. Deogratius Ndejembi, wabunge wote wanauliza nini mpango wa serikali baada ya barabara kuharibiwa na mvua za El Nino.
Yaani ni kama huko...
Dar es Salaam, Tarehe 30 Januari 2024
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa linaendelea kusitisha huduma ya usafiri wa treni kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Katavi, Kigoma na njia ya Kaskazini kuelekea mkoani Tanga...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema bado kuna viashiria vya uwepo wa El-Nino hadi Aprili mwaka huu.
El-nino ni mfumo wa hali ya hewa unaosababishwa na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki kwenye Bahari ya Pasifiki.
Mwaka jana, TMA ilieleza kuwepo kwa El-Nino...
Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameuelekeza Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia Bilioni 40 fedha za dharura kukarabati miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha...
Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka...
Unaambiwa enzi hizo Dar es Salaam kulikuwa na mito mikubwa kabisa pamoja na maziwa(lakes)
Tazama hii ramani ya beberu mjerumani inakupa picha kamili
Kulikuwa na ziwa Tandale😅
Ziwa Mwananyamala😂
Ziwa Magomeni😅
Mto Sinza😅
Dar es Salaaam inahitaji MKOLONI arudi tena kuipanga upya maana yeye...
Nimewaza sana leo!
Yaani watu kabisa wanamuomba Mungu kukemea Mvua isinyeshe! Kwamba mvua inaleta uharibifu!
Bahati mbaya kwenye hayo maombi kulikuwa na watu wazima, wazee hadi watoto wadogo!
Sikatai wao kufanya maombi! Lakini kinachonitisha ni hao watoto watakuwa na mentality ya kukemea vitu...
Jiji la Dar es Salaam la Lia baada ya kukumbwa na changamoto kubwa ya maji ya mvua kufurika katika mitaa na nyumba za watu, na madhara ya mvua yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara.
Tatizo kuu linapatikana katika mifumo ya maji taka na miundombinu ya mji. Mitaro mingi imejaa maji na kushindwa...
Wale tuliojiandaa kufanya usafi tafadhali msikose, tumeamua hata mvua ikinyesha tutasafisha kila kitu kinachosafishiika.
Wale wapendwa wenzetu waliotutangazia kuungana na sisi kwenye usafi niwakumbushe msisingize mvua mnakaribishwa kwa pamoja kuliweka jiji letu safi.
Mkuu wetu wa mkoa...
Moja kati ya mabwawa makubwa kuwahi kutokea Africa mashariki, man made lake , the Stiglers Gorge dam, au bwawa la Mwalimu Nyerere au Ziwa Nyerere kutokana na ukubwa wake.
Bwawa hili mpaka kujaa linatakiwa kufika MITA 186 kutoka usawa wa bahari, Cha ajabu pamoja na mageti kufungwa December 2022...
Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema hali ya upatikanaji wa Umeme katika baadhi ya maeneo nchini, imekuwa duni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, iliyosababisha miundombinu ya umeme, zikiwemo nguzo na transfoma kuanguka.
Kupitia taarifa iliyotolewa na...
We Mmasai uliyeniadaa na madawa yako ya mitishamba siku ya jana kwenye mvua, nasemaje, sisi ni Pipo, one day tutameet
Alianza kwa kunitandika dawa ya mvuto wa biashara, akafuatia dawa ya mvuto wa wanawake, akamalizia dawa ya kulifanya pembe la ndovu liwe na hasira kali kwa muda mrefu. "Rafiki...
Inadaiwa kuwa kuna mawingu yamedondoka huko Morogoro kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.
Wataalam, imekaaje hii?
Video ikionesha kile kinachodaiwa kuwa ni Mawingu yaliyodondoka, Morogoro
Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana.
Mbunge wa Jimbo hilo la Kibaha Mjini ni Silvestry Fransis Koka ambaye amekuwepo katika nafasi hiyo kwa muda mrefu lakini suala la...
Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya Machame Mashariki.
Jogoo mbegu Hannah TODAYS
Wakuu, kutokana na maji ya bomba ya dawasa kutoka kwa muda wa lisaa limoja tu kwa kila miezi 3, nimeona nihifadhi maji ya mvua
Tatizo yana utelezi fulani mwilini mimi napooga, je njia rahisi ya kuondoa huo utelezi ni ipi? Msaada tafadhali.
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha hapa Dar sijapata kuona. Tangu nizaliwe sijawahi kushuhudia mvua kubwa kiasi hiki.
Serikali ijiandae kukabiliana na athari za mafuriko zitakazosababishwa na mvua hii kwani kadri muda unavyoenda mvua inazidi kuongezeka
Mara ya mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.