mvua

  1. ndege JOHN

    Mvua za mwaka huu hatutazisahau.

    Jana hatari Sana wingi lilitanda Mida ya mchana saa Sita kukawa giza na hapo upepo mkali watu tumejificha zinapiga radi na kuvunja minazi. Wabishi wa kuhama mabondeni wamekubali jinsi maji baridi yanavyotisha wamehama wote wamerudi vijijini na huko mashambani wasio pata na waliopata wote...
  2. Sainya Jnr

    Tangu mvua ianze sijasikia "kataa ndoa" wala "fear women" humu ndani.

    Leo sisalimii Moja kwa moja kwenye hoja. Aisee leo nimepata kugundua kitu fulani hapa ulimwenguni. Mara nyingi hasira za wanawake huwa zinakuwa ni ushindi au furaha kwa wanaume. Immediately a woman gets mad, she cheats with another man, it's men who are winning. If women want revange, she...
  3. Roving Journalist

    Serikali: Watu 28 wamepoteza Maisha kutokana na mvua Morogoro, nyumba 1,035 zimebomolewa

  4. BigTall

    Wanafunzi Saba wahofiwa kupoteza Maisha baada ya School Bus kuanguka kwenye korongo (Sinoni, Arusha)

    Kuna taarifa nimeipata kutoka kwa jamaa yangu flani yupo Arusha ananiambia amepita mitaa ya Dampo, Sinoni anadai kuna basi mali ya Shule ya Msingi Ghati Memorial limeanguka kwenye korongo kutokana na mvua kubwa ambayo imenyesha pande hizo kuanzia usiku wa kuamkia leo Tarehe 12 hadi alfajiri...
  5. MK254

    Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

    Magaidi yote ya dini yaliyojificha pale lazima yaliwe.... The Israel Air Force struck various targets across the Rafah area in the Gaza Strip. https://twitter.com/Jerusalem_Post/status/1778155611923841222
  6. Roving Journalist

    Mvua ilivyoharibu miundombinu ya Barabara Sumbawanga - Rukwa, Waziri Bashungwa atembelea

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha inarejesha miundombinu ya barabara ya Kasansa - Muze - Mtowisa - Ilemba - Kaoze - Kilyamatundu (km 180) iliyoathiriwa kwa kiasi kikubwa na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo tofauti tofauti nchini. Bashungwa ameeleza...
  7. BabaMorgan

    Hizi mvua zinazoendelea sasa utazifurahia kama unaishi kwenye mitaa ya kishua

    Imagine unaishi Manzese, Buguruni, Luhanga, Mburahati, Tandika, Keko, Mbagala kwanza asilimia kubwa nyumba zinavuja miundombinu ya mitaa ni mibovu ongezea mifereji ya maji machafu inayotoa harufu watu wanatake opportunity ya mvua kuzibua vyoo very disgusting mitaa inatia kinyaa na hakuna...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mvua Kubwa na Upepo Mkali Vyaleta Maafa kwa Watu 685 Kijijini Lyasembe - Musoma Vijijini

    Ijumaa, 5.4.2024 mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali vilileta maafa makubwa Kijijini Lyasembe, Kata ya Murangi. Jumla ya watu walioathirika ni: 685 Watoto 384 Watu wazima 301 Jumla ya majengo yaliyoharibika: (i) Nyumba zilizobomoka (17): 17 za wanakijiji (ii) Nyumba zilizoezuliwa...
  9. A

    DOKEZO Mvua ikinyesha Stendi Kuu ya Magufuli, maji yanatuama sehemu ya kuegesha mabasi

    Nimejiuliza hivi Wakandarasi wanaojenga vituo vya mabasi huwa wanachaguliwa kwa kuangalia vigezo gani? Nasema hivyo kwa kuwa vituo vingi huwa vizuri vikiwa vipya tu baada ya muda changamoto mbalimbali zinaanza kujitokeza. Vingine huwa vinakuwa vibovu au havikidhi vigezo kuanzia mwanzo kabisa...
  10. R

    Mvua na Jua vya laana

    Kumekuwa na ukame mkubwa ambapo mvua zilikosa kabisa kunyesha. Sasa imeanza kunyesha. Watu wamepanda mahindi na mazao mengine. Kinachoonekana ni kuwa zinanyesha bila kukatika na hivyo kila mmea kuoza. Tunaomba mvua za kiasi si za laana Likija jua kila kitu kinakauka. Jua la laana! Nchi gani...
  11. ndege JOHN

    Lindi mvua kila siku, Mkoa uliopo inapigaje?

    Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
  12. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Ujenzi Yajipanga Kufanya Matengenezo Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua na Kupunguza Foleni

    WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo...
  13. Heci

    Athari za Mvua March 2024: Hali ikoje eneo ulipo?

    Tangu asubuhi kumekuwa na mvua kubwa ikinyesha jijini Dar es Salaam. Huu uzi ni kujulishana athari na matokeo ya mvua hizo. Je, ni barabara gani hazipitiki, tupite wapi? Wapi kuna mafuriko, na hatua gani tuchukue ili tuwe salama? Tuhabarishane sisi kwa sisi.
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Ninaingia kwenye maombi dakika 10 kuvunja matambiko na uchawi wa timu inayotumia mvua kubeba nyota yao . Huo uchawi haufanyi kazi leo

    Hello! Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale. Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha. Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya...
  15. G

    Huko Peru mvua za elnino zimeleta homa ya Dengue

    The El Nino weather pattern has created ideal conditions for mosquitos to breed and transmit dengue fever. The viral infection can cause fever, nausea, vomiting, fatigue and body aches. Peru declared a health emergency in most parts of the country on Monday after a heat wave and heavy rains led...
  16. Stephano Mgendanyi

    RC Mwassa Asisitiza Wanufaika Kutendewa Haki - TCRS Wazindua Mradi wa Kusaidia Walioathiriwa na Mvua Kagera

    RC MWASSA ASISITIZA WANUFAIKA KUTENDEWA HAKI - TCRS WAZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WALIOTHIRIWA NA MVUA KAGERA Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezindua mradi wa kusaidia kaya 482 zilizoathiriwa na Mvua kubwa iliyonyesha Mwaka jana ikiamabatana na upepo mkali na kusababisha maafa makubwa kwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua

    Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari ili kuepuka maafa yanayoweza kutokea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu...
  18. J

    Bashungwa aiagiza TANROADS kufanya tathmini ya maeneo yanayoathiriwa na mvua mara kwa mara

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS nchi nzima kuhakikisha wanabainisha na kufanya upembuzi yakinifu kwa maeneo yote ambayo yamekuwa yakiathiriwa na mvua mara kwa mara ili Serikali iweze kuyatafutia suluhisho la kudumu kwa pamoja. Agizo hilo limetolewa na...
  19. Kaka yake shetani

    Dubai wana kituo cha kusababisha mvua kwa kumwaga nchunvi kwa kutumia ndege.Sisi huku tukimtanguliza mungu na kununua V8 new model

    Yani sijui tuna kwama wapi yani ukikaona kandege kenyewe utazani kakupeleka watalii mbugani.yani wenzetu wasio na kitu kwenye ardhi wanajaribu kisicho kuwa kitu kuwa kitu. bado na kazia ma ubongo yetu yana tumia masanturi
  20. Roving Journalist

    Ruvuma: Barabara kuu ya Mangaka - Tunduru yafungwa kwa muda. Ni kutokana na mvua zinazonyesha

    Tunduru - Ruvuma Kutokana na mvua kubwa zinazonyesha ukanda wa Morogoro na Selous, daraja kubwa la Mto Muhuwesi lililoko hapa Tunduru limejaa maji hadi juu ya daraja na kwa hiyo tumechukua uamuzi wa haraka wa kufunga barabara kuu ya Mangaka - Tunduru Mjini kwa muda. Eneo la barabara...
Back
Top Bottom