mvua

  1. Manyanza

    Mvua ya samaki hunyesha nchini Honduras.

    Wakuu katika kupita pita mitandaoni na leo ndio najua kuwa kuna eneo hapa duniani huwa inanyesha mvua ya samaki. Eneo hili linaitwa Yoro, nchini Honduras, Central America, na tukio hili la ajabu hufahamika kwa jina la Lluvia de Peces. Kila mwaka, kati ya miezi ya Mei na Julai, mvua kubwa na...
  2. M

    Quality Unsex Rain Coat kipindi hiki cha mvua kwa Bei ya 8000/= tu!!

  3. A

    KERO Ubovu wa barabara ya kigamboni/ferry - cheka: Mkurugenzi wa Manispaa, Meneja TARURA/TANROADS mna mpango gani kuelekea msimu wa mvua?

    Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la kufanyiwa marekebisho lakini hadi sasa kazi hiyo haijakamilika. Tunaelekea katika msimu wa mvua za masika...
  4. B

    KERO Mto Ngerengere – Morogoro uchimbwe ili kuondoa taka zilizojaa, wakati wa mvua maji yanaingia mitaani

    Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, jamani mtaani kwetu huku kumekuwa na changamoto ya mto kujaa na kufurika maji hasa kipindi cha mvua hali inayosababisha maisha ya watu kuwa hatarini. Wanaokuwa hatarini zaidi ni Wanafunzi wa Shule za Msingi...
  5. mlinzi mlalafofofo

    Mlioezeka paa contemporary mvua zimeanza hali ikoje kwako?

    Vipi hali huko kwako/kwenu? Maji ya mvua yanaingia ndani au?
  6. Jangili La Kimataifa

    Umeme na mvua

    Kuna mikoa mvua ikianza kunyesha tu haichukui dakika 5 umeme unakatika sijui tanesco wameshindwa kusolve hili imekua ni tamaduni na desturi 🤔
  7. Mkalukungone mwamba

    Mvua yasababisha uharibifu wa mali Dodoma

    Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamepata hasara na usumbufu baada ya mvua kubwa kunyesha kwenye maeneo yao na kisha maji kuingia ndani na kuharibu mali mbalimbali. Soma Pia: TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3
  8. B

    Kupeana penzi wakati wa mvua kunaongeza kinga ya mwili

    Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini. Faida za tendo wakati wa mvua 1.kuimarisha upendo baina ya wenza 2.kuondoa stress za Kazi na biashara 3.njia ya kutatua Ugomvi 4.inachochea...
  9. Waufukweni

    TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa katika mikoa minane kuanzia leo Jumanne, Desemba 3, 2024. Mvua hizo katika mikoa hiyo ya Dodoma, Singida, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa, Songwe na Manyara. Taarifa hiyo ya TMA iliyotolewa leo Desemba 3, 2024 imetahadharisha...
  10. Roving Journalist

    Hali ya mitaa ya Mwanza ilivyo baada ya mvua ya leo Desemba 2, 2024

    Hivi ndivyo hali ilivyo upande wa mitaa ya Mwanza kutokana na mvua iliyonyesha leo Desemba 2, 2024 ambapo maji yamejaa katikamaeneo mengi iliwemo kufunika Barabara. Hii ni mitaa ya Furahisa – Kirumba.
  11. Waufukweni

    Kigoma: Nyumba 10 zimebomoka kutokana na mvua Kasulu

    Zaidi ya nyumba 10 katika mtaa wa mkombozi kata ya murusi halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma zimebomoka na nyingine kuezuliwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha oktoba 29 mwaka huu. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa mkombozi wakieleza namna walivyoshuhudia upepo mkali na...
  12. ankol

    Mvua za vuli kua chini ya wastani

    Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua. Watu wapo site wanaissafisha pori eka za kutosha tu tena wamepiga kambi. Narudi kwenye kurasa za...
  13. Roving Journalist

    LGE2024 Zoezi la Upigaji Kura Mwanza linaendelea licha ya mvua kunyesha, leo Novemba 27, 2024

    Mbali na baadhi ya wananchi kujitokeza lakini kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile Utaratibu wa majina haujafuata mpangilio wa majina ya watu (alfabeti) na kuchanganywa hali ambayo inasababisha usumbufu kwa wapigaji kura Mfano Katika kituo cha kupigia kura cha National Housing Kata ya...
  14. Waufukweni

    LGE2024 Mwanza: RC Mtanda ahimiza Wananchi waende kupiga Kura, ataka wasiogope mvua

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na kuwataka hali hiyo isiwatie uvivu. Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo mapema leo Novemba 27, 2024 mara baada ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Mbunge Vuma Holle Aendelea Kuzisaka Kura Kwenye Mvua

    MBUNGE VUMA HOLLE AENDELEA KUZISAKA KURA KWENYE MVUA Mbunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Mhe. Augustine Vuma Holle ameendelea na Kampeni za kuwaombea kura wagombea wanaotokana na CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024 wakati Mvua ikiendelea...
  16. JanguKamaJangu

    KERO Serikali ya Mwanza iboreshe ‘maeneo korofi’ ambapo mvua ikinyesha hali inakuwa mbaya

    Maeneo ya Daraja la Masai Daraja la Masai Moja ya changamoto kubwa wanayoipata wakazi wa eneo hilo ni wakati wa mvua kubwa au mafuriko, inapokuwa hivyo Daraja la Salamani na Daraja la Uhuru ambayo yana kina kifupi athari inazidi kuwa kubwa. Kinachoombwa na watu wengi ni kusafishwa kwa Mto...
  17. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yasaini Mikataba 93 Ujenzi wa Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua

    Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya dharura ya barabara na madaraja iliyoathiriwa na mvua za El Nino pamoja Kimbunga...
  18. Waufukweni

    TMA: Joto limeongezeka duniani, Mvua kuwa za wastani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Ladislaus Chang’a alisema mvua za chini ya wastani zinatarajiwa katika...
  19. Waufukweni

    Makazi ya Wananchi 500 Ubungo - Kisiwani (Dar) yapo hatarini, tunaomba Serikali itujengee mifereji ya kusafirisha maji ya mvua kutoka Barabara Kuu

    Hapa Ubungo, Kisiwani, Wananchi tupo katika hali ngumu sana, maisha yamebadilika kisa Mto Gide, ambao kwa miaka mingi umekuwa ni chanzo cha wasiwasi mkubwa na umekuwa tishio kwa makazi yetu. Nyumba nyingi zimebomoka na kila mvua inaponyesha, hali inazidi kuwa mbaya. Hadi sasa zaidi ya Wananchi...
  20. Right Way In Light

    Hatimaye tumekutana tena. Alinifaa kwa Jua lake leo nimemfaa kwa mvua yangu

    Huyu jamaa alishawah nisaidia nikaipata bag ya laptop niliyoibiwa nikiwa nimepaki gar ofisin na laptop nimeacha ndani ya gari. Hanijui simjui ila alikua mpangaji mwenzagu kwenye hizo frame. Alinisaidia baada ya kuitafuta sana kuambulia patupu nikakata tamaa. (Ni story ndefu sana). Ila mwisho...
Back
Top Bottom